DPP Biswalo Mganga tunaomba uwatendee haki watanzania. Viongozi wa CHADEMA waliotafuna Mali ya Umma wafikishwe Mahakamani

Ninakuandikia huu ujumbe ndugu Biswalo Mganga DPP wa nchi yetu kuwa sisi watanzania wanyonge ambao tunaishi kwa kubangaiza na kupata pesa kwa tabu kisha kulipa kodi tunakuomba ufanye haraka ili Mbowe na viongozi wenzake ambao walitafuna michango ya wabunge na kujilipa ruzuku za chama cha Chadema wafikishwe mahakamani ili haki ichukue mkondo wake.

Mwita Waitara aliibua madudu juu ya Mbowe kulipwa deni kihuni kwa kutumia ruzuku ya chama. Punde si punde tukashuhudia mbunge analia kuwa walikuwa wanakatwa pesa kila mwezi kuchangia chama chao kama mfuko kwa ajili ya uchaguzi. Punde si punde waliokuwa wabunge wa viti maalumu Chadema wakathibitisha juu ya matumizi mabaya ya ofisi na kukiri kukatwa pesa ili kuchangia chama chao.

Ni kweli walikuwa wanachangia chama chao kwa mujibu wa katiba ya chama chao, ambacho ni mali ya umma. Na pesa walizokuwa wanachangia ni kodi zetu sisi walala hoi. Na kwa sababu michango hiyo wanakiri kuwa ilitoweka na wala haijulikani ilitoweka vipi! Tunaomba uchukue hatua ili mahakama itupatie majibu nani alizitoa kwenye akaunti ya Chadema. Pia ndugu Mbowe alilipwa deni hewa kihuni kwa kutumia ruzuku za Chadema. Hili nalo tunaomba mahakama imchukulie hatua Mbowe ili awajibike.

Ndugu Biswalo Mganga hili swala ni wazi kabisa on face of it kuna ushahidi kuwa viongozi wa Chadema walitumia mali ya umma vibaya. Sasa kitendo cha kuchelewa kuwapeleka mahakamani ni kama kutowatendea haki watanzania walipa kodi,ambao pesa zao zimeliwa na wajanja wachache. Hivyo tunakuomba DPP Biswalo Mganga hatua stahiki zichukuliwe sababu Takukuru waliwahoji wabunge wa Chadema na wakakiri kukatwa hiyo michango. Lakini hizo pesa zilipotea katika mazingira ya kushangaza. Hivyo tuna kuomba fanya haraka uwapeleke mahakamani waliochot hizi pesa ili hatua stahiki zichukuliwe.
Taja majina mkuu chadema ni kubwa na itakua nzuri ukitaja na aina ya ubadhilifu ,na ushahidi,kamwe binafsi sipendi mtu fisadi hata siku moja
 
Kwanini unatuletea barua ya Maganga huku? Si umpelekee mwenyewe ofisini kwake?
 
DPP awafunge jera
 
Naungana na wewe lakini angeanza wale waliochota 1.5T kwa mjibu wa CAG,harafu akina Chenge na mikataba ya madini,rada,Kikwete aliyesaini mikataba ya madini inayotunyonya.Nadhani itapendeza (Shika)!!
 
Ninakuandikia huu ujumbe ndugu Biswalo Mganga DPP wa nchi yetu kuwa sisi watanzania wanyonge ambao tunaishi kwa kubangaiza na kupata pesa kwa tabu kisha kulipa kodi tunakuomba ufanye haraka ili Mbowe na viongozi wenzake ambao walitafuna michango ya wabunge na kujilipa ruzuku za chama cha CHADEMA wafikishwe mahakamani ili haki ichukue mkondo wake.

Mwita Waitara aliibua madudu juu ya Mbowe kulipwa deni kihuni kwa kutumia ruzuku ya chama. Punde si punde tukashuhudia mbunge analia kuwa walikuwa wanakatwa pesa kila mwezi kuchangia chama chao kama mfuko kwa ajili ya uchaguzi. Punde si punde waliokuwa wabunge wa viti maalumu Chadema wakathibitisha juu ya matumizi mabaya ya ofisi na kukiri kukatwa pesa ili kuchangia chama chao.

Ni kweli walikuwa wanachangia chama chao kwa mujibu wa katiba ya chama chao, ambacho ni mali ya umma. Na pesa walizokuwa wanachangia ni kodi zetu sisi walala hoi. Na kwa sababu michango hiyo wanakiri kuwa ilitoweka na wala haijulikani ilitoweka vipi! Tunaomba uchukue hatua ili mahakama itupatie majibu nani alizitoa kwenye akaunti ya Chadema. Pia ndugu Mbowe alilipwa deni hewa kihuni kwa kutumia ruzuku za Chadema. Hili nalo tunaomba mahakama imchukulie hatua Mbowe ili awajibike.

Ndugu Biswalo Mganga hili swala ni wazi kabisa on face of it kuna ushahidi kuwa viongozi wa Chadema walitumia mali ya umma vibaya. Sasa kitendo cha kuchelewa kuwapeleka mahakamani ni kama kutowatendea haki watanzania walipa kodi,ambao pesa zao zimeliwa na wajanja wachache. Hivyo tunakuomba DPP Biswalo Mganga hatua stahiki zichukuliwe sababu Takukuru waliwahoji wabunge wa Chadema na wakakiri kukatwa hiyo michango. Lakini hizo pesa zilipotea katika mazingira ya kushangaza. Hivyo tuna kuomba fanya haraka uwapeleke mahakamani waliochot hizi pesa ili hatua stahiki zichukuliwe.
Haya masuala si yalisha fikishwa takukuru na wakahojiwa sasa hiyo kazi unampa mganga ya nini wakati tayari taasisi husika ilishafanyia kazi na kama kimya maana yake ni umbeya tu kama unao utoa wewe hapa. Mtu mzima una leta umbeya? Kama una ushahidi nenda takukuru au polisi acha kuleta umbeya JF
 
Najua una hasira, ni haki yangu kutaka wahalifu washughulikiwe,usiniingilie.
 
Ni mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kumwita mtu mhalifu baada ya kujiridhisha na ushahidi usiokuwa na mashaka wewe huna haki hiyo. Mahakama haifanyii kazi hisia au umbeya. Innocent until proven guilty!

Ndiyo maana baada ya uchunguzi Takukuru hawakuona hoja wala ushahidi wa hayo uliyo yasema. Vinginevyo kesi zingefunguliwa.

Kama una ushahidi peleka Takukuru lakini hawafanyii kazi hisia

Kama sio wakora, ziko wapi pesa walizochanga wabunge wa Chadema? Premafacie evidence ni kuwa hawa ni wakora.
 
Mtu akinywa supu ya utumbo ni lazima tu awe anaongea utumbo,hivi sababu yake ni nini?
 
Ulitaka ukabidhiwe wewe? Waliochanga kwa mujibu wa katiba yao hawalalamiki cha ajabu una lalamika wewe ambae hata senti moja hujachanga. Pilipili ziko shambani zina kuwashia nini?
Kama sio wakora, ziko wapi pesa walizochanga wabunge wa Chadema? Premafacie evidence ni kuwa hawa ni wakora.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom