DPP Biswalo Mganga awafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu

Yaani DPP anayetoa amri kina Nusrat Hanje wakamatwe na kuswekwa rumande, halafu DPP huyo huyo anapita tena huko gerezani kusikiliza malalamiko ya kina Nusrat ili kuwaachia.

Huyo atakuwa DPP anayeshikishwa ukuta.
Kabisa,halafu ni huyu huyu alikomaa Nusrat anyimwe dhamana!Anakalia mpini huyo Dpp
 
Back
Top Bottom