DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

Kweli mheshimiwa rais huyo aliyeshiriki kuumiza watu , wakiwemo wafanyabiashara kwa kutumia cheo chake Cha mwendesha mashtaka mkuu ( DPP ) . Hebu muangalie mheshimiwa huyu uadilifu wake ? Hafai kabisa kuwa Jaji flee his knees on our neck madame please . Sisi yetu ni kushauri tu mwamuzi wa mwisho ni wewe , muda unao ,uwezo unao , akili unazo , utashi unao .
 
Barnaba Samatta CJ rtd was once a DPP then appointed to be a judge later on CJ,
Bomani was once a state Attorneys later on apointed to be a judge,
Feleshi was also a DPP later on apointed to be a Judge and later on Principle judge.
Kuhusu tume ya utumishi wa mahakama JSC huna minutes za vikao vyake hivyo hujui mapendekezo yake.
Ieleweke sisapoti kinachoendelea lakini kwa mujibu wa katiba yetu Rais anaweza kuteua Judge kutoka popote pale na hata kwenda kinyume na JSC kama tunataka marekebisho yasimlenge mtu lengo liwe ni kufanya maboresho.
 
Hili ndilo suluhisho lililobaki kwa Jaji Biswalo kumkataa maana at any rate hawezi kutenda haki. Huyu kazaliwa na roho mbaya, inborn, instinctive hawezi kubadilika.
Sheria inaruhusu kumkataa Jaji?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Inaruhusiwa kumkataa Jaji Mkuu lakini ombi la mtuhumiwa linaweza kabisa kutofanikiwa katika hii Serikali ya kidikteta.

Leo Mama yetu sijampenda kwa kitendo cha kumwapisha Shetani. Kumbe naye ni jeuri. Watu wametoa sababu nzuri kuwa asimwapishe, very sounding reasons, lkn bado akamwapisha. Huyu hatatufikisha mbali katika uwanja wa haki
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo Mama matumaini yangu kwake yameshapotea kabisa. Hatakuwa na jipya lolote la kuleta demokrasi ya kweli Nchini.
Leo Mama yetu sijampenda kwa kitendo cha kumwapisha Shetani. Kumbe naye ni jeuri. Watu wametoa sababu nzuri kuwa asimwapishe, very sounding reasons, lkn bado akamwapisha. Huyu hatatufikisha mbali katika uwanja wa haki
 
Hivi Ile Kesi Waliyosema Cdm wanaifungua Ili Biswalo Mganga asiapishwe Ilishafumguliwa Mahakama Kuu?
 
Back
Top Bottom