Ana kesi zaidi ya 5. Hiyo ni 1. Wanatakiwa kufuta zote, maana zilikuwa za kijinga, zenye lengo la kuwafanyiamental torturena usumbufu.Ni jambo jema!
Tundu Lisu na familia yake warudi nyumbani sasa!
Hii 1 imefutwa ili mamy apate chakusema kwa wastaarabu Duniani kuwa na yeye ameanza kustaarabika.