steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 9,573
- 10,276
Huyu DPP naamini lazima atakuwa anachukua mizigo sana,haiwezekani kesi ya mihela mingi hvyo useme huna nia ya kuendelea nayo, kwenye wezi wa ushirika akijitela tu tunamla kichwa,haiwezekani mali zitwaliwe kiwiziwizi halafu useme huna nia ya kuendelea na kesi