DPP aanzishe mada kwa ajili ya taarifa za wizi,ujambazi na mambo mengine ya uvunjifu wa amani.

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,260
2,000
Jf ni mahali ambapo kila aina ya taarifa uitakayo kwa undani zaidi inapatikana kutokana na kwamba watu wanaongea openly tofauti na kumtaka mtu apeleke mwenyewe taarifa za uwepo wa hali ambayo siyo ya kawaida katika eneo fulani.Jf inafaida nyingi kuliko hasara. Serikali wanaweza kupata taarifa za tukio ambalo ni sensitive sana kiasi kwamba ni vigumu sana kulipata Moja kwa Moja kutoka kwa wa RAIA wema kwa kuhofia maisha yao kutoka kwa watu ambao siri zao zimevujwa.Hivo ni vema wafungue Uzi ambao watu watatoa siri za matukio yanayoendelea na askari kwa kutumia intelijensia yao watafanya upelelezi wao wa kitaalamu kabla hawajachukua uamuzi.
Rais2020
Rais wa awamu ya sita.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom