Download Videos haziplay

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,308
Wakuu nimekwama kidogo
Kuna video nazi download kutoka YouTube
But kwenye computer zinaplay I mean desktop but nikisend kwenye flash zinagoma kabisa hata kufunguka

Support pls
 
Wakuu nimekwama kidogo
Kuna video nazi download kutoka YouTube
But kwenye computer zinaplay I mean desktop but nikisend kwenye flash zinagoma kabisa hata kufunguka

Support pls
Huu msaada tusaidieni jaman tuko wawili wenye tatizo hili
 
Kwa sasa kuna wingi wa flash mbovu na unaweka data vizuri ila km no video au mp.3 hazichezi kabisa hivyo tatizo lako flash ni mbovu tafuta flash nyingine
 
Back
Top Bottom