Download Torrents using IDM at UNLIMITED SPEED

Sirbuni

Senior Member
Aug 19, 2012
103
33
Kwa wale wanaotaka kudownload torrents kwa kutumia download manager kama IDM, wanaweza kwenda kwenye hii link:
Torrent2IDM.
Hakuna kikomo kwenye download speed na files zako zitatunzwa kwa mwezi mmoja.
Nenda kwenye hiyo link kupata maelezo zaidi.
 
Hata sijakuelewa,sasa kwanini usituandikie maelezo yote hapa hapa?
Nikisema niwekee maelezo yote hapa, thread itapelekwa kwenye forum ya matangazo madogo madogo (soma Jamii forums rules) kitu ambacho sio target yangu.
 
I think I knw wat ur trying to do, and i like it!... But hey, i love my MediaGet and Bittorrent
Screenshot (22).png
 
I think I knw wat ur trying to do, and i like it!... But hey, i love my MediaGet and Bittorrent
View attachment 126291
It's good kama umenisoma.....
Some people are restricted to download torrents na wale wanaowapatia internet. Pia torrents nyingine zina very few seeds, so kwenye case kama hiyo....you may consider zbigz2idm an alternative.
 
Kuna this one, Furk.net, nayo naipendaga, Ila ZBIGZ is pretty awesome, nice Idea man, and the prices seem fair enough
 
Sirbuni nimependa hiyo Client yako kama IDM fulani emu nipe jina lake maana mm naona Tunec Inc wamenistukia nimecrack IDM sasa mtiti nikiwa nadownload Video Kuna kimessage kina nambia "Remember you activated your IDM with fake srial number"
Nakipiga Ok lkn 5minutes kinarudi mpaka nimeichoka ni bora nitumie 30days zikiisha na Uninstall naanza upya

Sasa kama hauto Mind kama Hiyo client ina capture Youtube Videos na non-u tube videeos nahisi itanifaaa
 
Kuondoa hiyo message nenda katika Installation folder la IDM rename "IDMGrHlp.exe" kwenda "IDMGrHlpOLD.exe" na "idmBroker.exe" kwenda "IDMGrHlp.exe" utakuwa umemaliza kazi.
 
Kuondoa hiyo message nenda katika Installation folder la IDM rename "IDMGrHlp.exe" kwenda "IDMGrHlpOLD.exe" na "idmBroker.exe" kwenda "IDMGrHlp.exe" utakuwa umemaliza kazi.[/FONT][/SIZE]

now this i call HELP....
thanks man maana ilikuwa kila ikianza hii mambo na uninstall na clean registry nainstall upya
 
Inaitwa Intenet Download Accelerator. Ina features nyingi kama IDM & insupport mpaka 10 parallel downloads.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom