download movie bure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

download movie bure

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by koo, Jan 26, 2012.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba msaada jamani mimi nimtanzania mwenye kipato cha chini sana uwezo wakununua movies sina japo nini penda sana mkutizama movies na alichonijalia mungu nikuniweka katika ofisi yenye net ya uhakika na isiyo na ubababaishaji napenda kujua nitawezaje kudownload movies bure?
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kwanini usiweze? unless company policy yako haikuruhusu.
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  fanya hivi: unainstal software inaitwa u-torrent. link hii µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client

  halafu ukishakuwa nayo hiyo utaingia google kama kawaida utafute website inaitwa btjunkie au nikuwekee link: btjunkie - the largest bittorrent search engine

  halafu kwenye search box ya btjunkie andika jina la movie unayotaka kudownload. itakuletea search findings nyingi. i was told the best movies in quality audion and video ni kuanzia 700 - 900mb. utaclick kwenye hiyo ultakayochagua halafu itakupa download link ukiclick hiyo link sasa inategemea unatumia chrome au mozilla au explorer lakini something will pop ambayo itakuprompt usave au itajisave yenyewe and once you click on the pop up au saved folder itakupeleka moja moja kwenye torrent ambayo itaanza kudownload. am not so good in explaining lakini nadhani umeelewa. ni njia rahisi na ndo nayojua tu unless kama kuna mtu anajua namna nyingine mbali ya junkie na torrent atusaidie.
   
 4. koo

  koo JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Nashukuru sana kwa msaada wako nimefanikiwa.
   
 5. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 6. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pia itakubidi u search kwenye Google software iitwayo FSJSplitter hiyo ni kwaajili ya kuunganishia files utazokuwa umedownload na kufanya movie kamili itokee.Uzuri wa hii system ni kwamba ni rahisi kuresume downloading...heh,kumbe sijajua kwamba unaweza usiwe na Internet Download Manager!!!Search humu namna ya kudownload na hiyo IDmanager,utaihitaji kwani inakufanya udownload kwa speed kubwa hatari!
  Kwa system hii niliyoitoa,kama una internet yenye speed nzuri,nakuhakikishia utadownload movies nyingi ndani ya muda mfupi mpaka utashindwa kuziangalia mkuu!
   
 7. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Are you sure?
   
 8. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  torrents mbona ndo dunia mpya, kwenye torrents utapata kudownload almost kilakitu na unaweza kuPause na kuResume downloads bila kuanza mwanzo, speed yake kubwa kilingana na seed na leechers wa hilo file, ukitumia media fire umeme ukakatika tu na computer ikazima :hatari: imekula kwako kuanza mwanzo kunakuhusu !! nakushauri utumie (isohunt.com, kickasstorrents.com, etc)
   
 9. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  jamani nimeistal hiyo torrents lakini nashindwa kuitumia,nafanyaje?nikitaka ku-download music pia yawezekana?nipeni maujuzi
   
 10. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  umeinstal software gani ya torrents? anyways, mimi natumia sana Vuze na Frostwire (download link--> Download Vuze 4.7.0.2 - Download - FileHippo.com )ila kuna utorrent na zingine ni nzuri pia..unachotakiwa ni kubrowse movie au file lolote unalotaka kudownload kwenye torrent hosting websites kama isohunt.com alafu utadownload torrent file la hiyo movie, then utaDouble click hiyo torrent file uliyodownload alafu utaona Vuze imefunguka na kuanza kuDownload...simple process!
  kwa mfano hapa nataka kuDownload Mission Impossible 4 Ghost Protocol, nasearch kwenye search tab ya isohunt.com, nachagua movie yangu kwenye list, then nadownload and open torrent file lake..

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 11. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Brakelyn...kama umeshindwa kuresume mediafire,ULIZA uelekezwe!Mbona mi naresume tu kama kawaida???!!!!Torrents unaweza download movie ya zamani ndani ya dakika 15????Na wasipokuwepo seeders wengi je?Tena wengine mi pc yao imejaa VIRUS!!!!
   
 12. IamError_D

  IamError_D JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 424
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  nijulisheni kama una dowload movie bure na bundle wanakata kutegemea na MB zenyewe za movie ambayo una download?..
   
 13. j

  junior05 Senior Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 14. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umepatia haswa. pigia mstari jibu lako
   
 15. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mzee tufahamishe vipi tunaresume kutoka mediafire. hatujui
   
 16. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Paje,nawatumia soon!
   
 17. H

  Hkeen Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes! Hapo ndo penyewe umefika.
   
 18. Pr cure

  Pr cure JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2016
  Joined: Oct 16, 2015
  Messages: 1,317
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  pamoja
   
Loading...