Downlad videos straight from youtube

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
Ni hatua chache tu za kufanya

1:fungua YouTube

2: search video unayotaka

3:nenda kwenye url ya hiyo video:- yaani ile YouTube.............

4:then futa kila kitu upande wa kushoto kuanzia hiyo nukta nyuma ya youtube
Yaani iwe YOUTUBE.COM/watch........

5:nyuma ya neno youtube andika SS isomeke
ssyoutube.com/watch.....

Then press enter,itakupeleka kwenye formats mbali mbali za kudownload
 
kabla ya kupost muwe mna angalia post nyingine hiyo ipo siku nyingi sana
 
Nimekupata vizuri mkuu. Sasa nimefikia hiyo hatua ya nne na kuziona hizo format lakini nikashindwa kujua nini niendelee nacho, naomba elezea hadi mwisho mkuu.
 
hengera cku nyingi nilikuwa nahangaika kudomnload video za youtube.maelezo uliyoyatoa nimeyafuata nimeweza kudownload video nyingi.asante ubarikiwe
 
mwanang poa sana nilikuwa naangaika sana kudownload leo nimeweza poa sana jomb kama una maujanja mengin tuelekeze m2 wang
 
Back
Top Bottom