Dowans wakilipwa wastaafu wa eac na wafanyakazi waingie katika mgomo usio na kikomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dowans wakilipwa wastaafu wa eac na wafanyakazi waingie katika mgomo usio na kikomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Jan 24, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  WADAU,
  na wasalim jina la ukombozi wa nchi yetu,
  Napenda kutoa hoja ya haya, kwanini wazee wa EAC na wafanyakazi wote wa nchi hii wanaodai taifa letu madai na malimbikizo mengi wasiingie barabarani katika mgomo usio na kikomo kushinikiza kulipwa madai yao. Naandika haya baaada ya tafakari ya muda mrefu na kurejea baadhi ya kauli za serikali kuwa haina pesa za kuwalipa kwa sasa na waendelee kuwa wavumilivu wakati huo huo Serikali hiyo hiyo inayodai haina fedha za kutosha inataka kuwalipa DOWANS tena kwa haraka bila ya bunge kuanza na kujadiliwa kama ishu ya kitaifa nat tena bila kusajiliwa mahakama kuu.

  Tusubiri serikali iwalipe DOWANS then tufanye kazi kubwa ya kuwahamasisha wazee wa EAC waingie katika mgomo usio na kikomo mpaka walipwe vivyo hivyo kwa wafanyakazi wengine wote wenye madai yao ya muda mrefu, raia tuungie mtaani kudai serikali ilipe ruzuku kwa TANESCO ili tusilipe ongezeko la 18% kwa kuwa mishahara haija ongezeka na umeme sio wa uhakika.

  Wanafunzi nao waingie katika mgomo usio na kikomo kudai ongezeko la mkopo hususani fedha za kujikimu toka elfu 5 mpk 10.

  Tukiishinikiza serikali kutimiza yote haya wanaweza kwa kuwa tumekuwa wavumilivu tukiamini hawana bajeti ya kutosha kumbe za kulipa citu kifedhuli bajeti inatosha, kumbe kutembelea magari ya kifahari bajeti inatosha, kumbe kujilipa possho kubwa za vikao bajeti inatosha kumbe kulipana posho za safari zisizo na tija bajeti inatosha, kumbe kununua samani za anasa toka nje ya nchi kwa bei mbaya ubora wake mbaya bajeti inatosha sasa nadhani ni wakti wetu kudai stahiki zetu na safari hii nasi bajeti itoshe
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Yap! Good Great Thinker!
  chadema.jpg
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kuhusu wafanyakazi wa EAC hakika hapo huwa inaniuma sana, wazee wetu wananyanyasika mno kiukweli ILHALI UTAWALA UPO.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
 5. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,299
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo TUNAPOKOSEA.....yaani tusubiri jamaa walipwe?? wakishalipwa ndo imetoka mkuu na hakuna atakayewasumbua tena CCM na serikali yao.

  Wananchi sasa wana kiu ya kuambiwa nini cha kufanya ili KUZUIA malipo haya HARAMU. Ni wakati huu uongozi wa watu unahitajika.

  CHADEMA na vyama vingine makini vya kiraia wapo wapi??
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hawa wazee inaniuma sana hasa pale ishu hii ya Dowans inapelekwa fasta fasta huu ni ufedhuli wa hali ya juu
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Na hizi pesa kwa ajili ta hawa wazee zimeliwa kila siku ishu inapigwa danadana
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Naunga hii hoja bwana Bruker its true! how come wazee wa iliyokua EAC serikali haina hela! Lakini pesa za kuilipa Dowans zipo na anayetakiwa alipwe hajulikani na serikali imelikalia kimya huu ni Ushuzi mtupu!:A S 114::crazy:
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu,bunge liamrishe serikali iwalipe hawa wazee wamenyanyaswa sana.
   
Loading...