Dowans inaweza kuwa 'Mohamed Bouaziz' wa Tanzania

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Mohamed Bouazizi alikufa akitetea haki yake ambayo serikali ya rais BEN ALI wa Tunisia ilipokuwa inampora lakini
matokeo ya operation hiyo ya kumyanganya tonge lake ndio ikawa ndio imewasha moto wa kuondolewa serikali hiyo
dhalimu ambayo hivi sasa imebakia kuwa historia. ukiangalia na swala la DOWANS lina sura ile ile na kile kilichotokea Tunisia
fedha za kodi za wananchi ambazo walizitoa kwa maendeleo yao, serikali inazinyanganya kwa nguvu kutoka kwa wananchi
kuwapa Dowans. Kwahiyo kazi kwako Mtanzania kufyata mkia na kufumba macho kwenda kulala(do nothing) au kuchukua hatua kama wananchi
wa Tunisia ya kupambana na serikali dhalimu. binafsi nachagua la pili kwani nakubaliana na Malcolm x kuwa

"A man who stands for nothing will fall for anything"

 
Waarabu ni watu mashujaa ndio maana paka leo wako katika mapambano na nchi za magharibi na madikteta walio waweka kuwatawala. Hakuna mahali nchi za magharibi zinapata taabu kama kwa waarabu. Nchi za magharibi uchu wao na tamaa na waarabu kukataa kuwapigia magoti ndio maana wote wanasapoti mtoto wao haramu Israel
 
Mie tangu ile maanamano ya wale jamaa wa DICOTA kupigwa changa sina hamu kabisaaa
 
Back
Top Bottom