Dowans hawaogopi lawama za hawa?

Madawati mangapi yange nunuliwa? Mbona Serekali haina haraka kununua madawati lakini walikuwa tayari kulipa, Dowans bila kuuliza pesa ziko wapi?
Tuwa sadie hawa watoto kwanza Dowans kama italipwa basi tuwaombe wafadhili watu saidie. What need to come first in this Situation?

This is shame to country, Why are leaders visiting the equiped school only?
Are they aware that this is situation?
Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom