Dovillen property. Kiwanja kinauzwa kipo Goba mita 300 kutoka Goba mjini

dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Messages
1,400
Likes
440
Points
180
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2014
1,400 440 180
Dovillen property. Kiwanja kinauzwa kipo Goba mita 300 kutoka Goba mjini..ukubwa 35kwa 40
Bei 28ml

0756060183
 
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Messages
1,400
Likes
440
Points
180
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2014
1,400 440 180
Bei pia ina maongezi
 
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Messages
1,400
Likes
440
Points
180
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2014
1,400 440 180
Plot inauzwa IPO Goba Jirani na stand
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,428
Likes
12,000
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,428 12,000 280
Dovillen property. Kiwanja kinauzwa kipo Goba mita 300 kutoka Goba mjini..ukubwa 35kwa 40
Bei 28ml

0756060183
Kuna mahali nimekiona hiki Kiwanja wanakiuza 25Million
 
Mdhamini

Mdhamini

Senior Member
Joined
Nov 25, 2016
Messages
188
Likes
106
Points
60
Age
41
Mdhamini

Mdhamini

Senior Member
Joined Nov 25, 2016
188 106 60
Kama kina hati ni PM.
 
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Messages
1,400
Likes
440
Points
180
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2014
1,400 440 180
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Messages
1,400
Likes
440
Points
180
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2014
1,400 440 180
Sasa ukimaliza process.mtafute na sio kuleta janja janja
Duh! Cdhani kama haya unayoyaongea umeshirikisha akili yako! Kwan kama hapajapimwa hupawezi kuuzwa? Plot zote na nyumba zinazouzwa zimepimwa? Biashara ni maelewano baina ya mnunuzi na muuzaji ndg usikalili maisha jaribu kuelewa kabla ya kuongea uchafu
 
Clueless14

Clueless14

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Messages
2,841
Likes
3,796
Points
280
Clueless14

Clueless14

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2014
2,841 3,796 280
Duh! Cdhani kama haya unayoyaongea umeshirikisha akili yako! Kwan kama hapajapimwa hupawezi kuuzwa? Plot zote na nyumba zinazouzwa zimepimwa? Biashara ni maelewano baina ya mnunuzi na muuzaji ndg usikalili maisha jaribu kuelewa kabla ya kuongea uchafu
Bro kamilisha documents
Matapeli wengi siku hizi, nna mtu namjua alinunua style hiyo hiyo ta kuambiwa kiko kwenye process, mwisho wa siku akaambulia kupata 1/4 tu ya kiwanja na kukatiwa 3/4 ya kiwanja chote kapewa mtu mwingine na serikali kihalali.

Issa nah! Get paperwork first
 
kambitza

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
1,927
Likes
636
Points
280
kambitza

kambitza

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
1,927 636 280
Bro kamilisha documents
Matapeli wengi siku hizi, nna mtu namjua alinunua style hiyo hiyo ta kuambiwa kiko kwenye process, mwisho wa siku akaambulia kupata 1/4 tu ya kiwanja na kukatiwa 3/4 ya kiwanja chote kapewa mtu mwingine na serikali kihalali.

Issa nah! Get paperwork first
Mshkaji wangu pia aliambiwa hivyo hivyo hati ipo kwenye process akanunua. Yaliyomtokea hadi huruma.
 
H

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Messages
6,946
Likes
818
Points
280
H

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2011
6,946 818 280
Kamilisha document ndio uuze. Pesa zipo tu.
 
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
1,773
Likes
680
Points
280
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
1,773 680 280
Us
Duh! Cdhani kama haya unayoyaongea umeshirikisha akili yako! Kwan kama hapajapimwa hupawezi kuuzwa? Plot zote na nyumba zinazouzwa zimepimwa? Biashara ni maelewano baina ya mnunuzi na muuzaji ndg usikalili maisha jaribu kuelewa kabla ya kuongea uchafu
Usiwe mwepesi kukasirika, hii Ni biashara
 
shibumi

shibumi

Senior Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
128
Likes
205
Points
60
Age
36
shibumi

shibumi

Senior Member
Joined Dec 14, 2016
128 205 60
Tatizo wabongo wamezoea janja janja.. Huwezi taka lipwa 28 mill bila karatasi za serikali..
Pata hati kwanza kisha njoo humu
 
muvika online

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Messages
330
Likes
225
Points
60
muvika online

muvika online

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2016
330 225 60
picha za kiwanja tafadhali
 
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Messages
1,400
Likes
440
Points
180
dovillenproperty

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2014
1,400 440 180
Tatizo wabongo wamezoea janja janja.. Huwezi taka lipwa 28 mill bila karatasi za serikali..
Pata hati kwanza kisha njoo humu
Mkuu sio lazima kulipa kabla na ndio maana nikasema mteja akiona na akipenda tunaweza kwa pamoja kufuatilia ducoment na zikikamilika ndio mteja alipe
 
pettymarcel

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
1,817
Likes
699
Points
280
pettymarcel

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
1,817 699 280
Kama kina hati ni PM.
Mimi ninacho chenye hati ni square meta 900 kipo Goba bei mil 16 kina hati kabisa ila kiko kilometa Moja na Nusu kutoka barabara kuu 0763772636 WhatsApp au call
 
Forum statistics

Threads 1,273,280
Members 490,351
Posts 30,476,446