Dougo nani kamfunza haya Maadili ya Ulabu?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
537657_345188322246605_681189577_n.jpg
 
Pole sana kijana, nenda shule kwanza, ulabu waachie watu wazima. Anaye fahamu Baba na Mama ya huyu mtoto, tafadhali shikati hao wazazi mara moja kwa child abuse.
 
kimanzi chana utafungwa man huo ni utamaduni wa hiyo village so hata child abuse aezi ingilia
 
hiki ndicho kizazi kisichomjua mwalimu nyerere.kisichojua kuwa ccm walileta uhuru.kisichomjua mangula wala kinana.beware of it,2015 ccmagamba hawaponi
 
Back
Top Bottom