mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,505
Habari za weekend wakuu,
Jana nimeshtushwa na kauli ya msemaji wa TRA kwamba banks ndo zinatakiwa ziilipe VAT ya 18% kwa ku'deduct kutoka kwenye fees and commisions wanazokusanya kutoka kwa wateja wao.
Me kwa uelewa wangu na inavyojulikana in financial terms kwamba VAT ni consumption tax na anayetakiwa kuilipa ni end user au consumer.
After all Banks katika Financial Statements zake Fees and commision inajumlishwa na net interest income ili kupata total income.
Then inatolewa operation cost na other business costs kwenye hyo total profit ili kupata net income before tax. Then inapigwa corporate income tax ya 30% ili kupata net income after tax ambayo ndo faida ya bank.
Sasa how comes wapigwe tena kodi kwenye hiyo fees and commision na wakati imeshajumlishiwa na kutolewa kodi kwenye corporate income tax.
Hii double taxation which means 30% corporate income tax plus 18% VAT which means kodi ya 48%.
Hamna biashara itakubali igawane 50/50 na serikali. Unless tunataka tuuee our young financial sector which is key to growing economies in Sub Saharan Africa.
Tuache siasa kwenye mambo ya kisomi.