vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Moja ya vitu tunavyoweza kujivunia ktk tasnia ya habar ni uwepo wa watu makini ktk taaluma hiyo kama Dotto hakika mada na mijadala anayosimamia kupitia jicho la habar magazetin tuongee asubuhi star TV ni kielelezo cha uwezo na weledi ktk taaluma yake jamaa anajua kuhoji na aachi hoja ieleee hiyo in nzur sana kwa walaji wa habar narudia kusema tena ,Hongera sana brother