Dotto Bulendu: watumishi wa umma wanapiga simu kwenye vyumba vya habari

Huyu mzee tumemkosea nini sisi watumishi? Ila ameshatusoma nakuona hatuna madhara! Watumishi wa umma tunadharaulika sana! Mzee wa msoga aliwahi kutuambia hahitaji kura zetu baada ya kumpiga mkwara wa kuandamana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyakazi wasiongezwe mshahara mpaka ujenzi wa barabara ya Manyoni Tabora na Tabora Kigoma utakapomalizika.
Iwapo watumishi wanakomba karibu bilion mia tatu kwa mwezi na kwa mwaka wanakomba Trilioni tatu point sita, ongezeko la asilimia tano ni sawa na Tsh bilion mia themanini ambazo zinaweza zikatatua kabisa changamoto hiyo. Mtumishi ambaye haridhiki na mshahara wake aache kazi akajiajiri ili kuongeza kipato chake.
 
Mpaka mashetani yatakapoonekana..
Boeing-787-Dreamliner-Specifications-Interesting-Facts.jpg
 
Vyumba vingi vya habari kwa sasa vinapokea ujumbe kutoka kwa watumishi wa umma,wengi wao wanauliza hatma ya kupandishwa madaraja na nyongeza ya mishahara!.

Wanasema huu ni mwaka wa tatu sasa hawana nyongeza ya mshahara na wengine hawajapandishwa madaraja!.Serikali ilifafanue hili ama ilitatue mapema isije ikatengeneza "Go slow strike" kwa watumishi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapiga simu kwenye vyombo vya habari kwani ndiyo muajjri wao?

Havome
 
Serikali ipo busy na barabara tukimaliza tutawajali watumishi na hapo ni mpaka 2020 september. Mtaisoma namba .
Nyie kama hamja mjua mjua rais wenu anapenda kufanya vitu ambavyo vinaonekana kwa wananchi wa chini hasa wale KKK. maslahi ya watumishi haliongeleki jukwaaani ndio tatizo na hata akiliongea hilo ,wananchi hasa KKK hawata mpigia makofi na vigelegele, mtasubiri sana watumishi wa umma , kama hamtaki acheni kazi kinyume na hapo subirini 2019
 
Startv imerudi hewani?

StarTV irudi wapi kaka, wamekalishwa muda tu. Halafu huyo Dotto Bulendu yeye huwa anaenda StarTV kwa vipindi maalum nadhani sio muajiriwa wa pale. Toka kufungwa kwa Star Tv nimemmiss sana Doto Bulendu kwani ni mchambuzi nguli wa habari na siasa. Huwa anamuhoji mtu kwa weledi wa hali ya juu. Hiyo startv isipofunguliwa sijui Dotto Bulendu atatufikiaje sisi wapenzi wake.
 
Vyumba vingi vya habari kwa sasa vinapokea ujumbe kutoka kwa watumishi wa umma,wengi wao wanauliza hatma ya kupandishwa madaraja na nyongeza ya mishahara!.

Wanasema huu ni mwaka wa tatu sasa hawana nyongeza ya mshahara na wengine hawajapandishwa madaraja!.Serikali ilifafanue hili ama ilitatue mapema isije ikatengeneza "Go slow strike" kwa watumishi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
TRA inakusanya tril.1.3 kwa mwezi na juzi walikusanya bil.32 Kodi ya majengo
 
Back
Top Bottom