Dotto Bulendu: Rekodi yetu ya mapambano yetu dhidi ya Janga la Korona

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,439
50,961
Ushauri wa DOTTO BULENDU:

"Tupo vitani" kama ni kweli mbona hatupo wamoja.?
Na Dotto Bulendu

COVID-19 ilipoanza wote tuliita ni janga na tujihadhari nalo Kwa kufanya yafuatayo.
1.Kuepuka misongamano
2.Kunawa mikono Mara Kwa mara
3.Kuvaa Barakoa ili kuwakinga wenzetu
4.Kula vyakula vyenye Vitamin C

Huu ulikuwa Wimbo wa kila mmoja nchini kwetu kuanzia Rais(rejea ujumbe wa Mh Rais wakati akiwa ziarani kuelekea Morogoro halafu Dodoma).

Wote tuliimba wimbo mmoja ambao ni Ugonjwa huu ni hatari, hivyo tuchukue tahadhari sote Kwa pamoja na Serikali ikatangaza yafuatayo....

1.Kusitisha michezo na matamasha yote Kwa muda ili kuepusha misongamano.

2.Shule,Vyuo Na Vyuo Vikuu vikafungwa Kwa muda ili kuepusha misongamano,hapa Kama taifa tulikuwa wamoja.

Lilipokuja suala la namna ya kudhibiti misongamano Na hatari ya kusambaa Kwa Ugonjwa huu sehemu za Ibada,sehemu za biashara,mipaka hapo ndipo tofauti zikaanza na watanzania kuanza kutoaminiana .

Rais wa nchi akajitokeza Kwenye nyumba ya Ibada jijini Dodoma na kushusha Presha iliyokuwa inapanda Kwa kusema COVID-19 siyo ugonjwa hatari Kama inavyosemwa na watu Na kuwataka watanzania wawe watulivu na wachape kazi.

Baadhi ya Viongozi wa dini wakatofautiana,baadhi wakapendekeza shughuli na maeneo ya kuabudu zisitishwe ama kupunguzwa,wengine wakasema hata iweje COVID-19 haiwezi kuingia nchini na wengine wakaapa Kuwa haitaingia.

Takwimu za wagonjwa zilipoanza kutoka,mpasuko ukazidi kushika kasi na hata mhimili wa Serikali ukaanza kukinzana wenyewe Kwa wenyewe wapo Viongozi ...

1.Walizunguka mtaani na kusema tokeni nje mkafanye kazi (RC-DSM).

2.Wapo waliosema Bar zifungwe Saa tatu(RC-Mbeya).

3.Wapo waliopita nje na kuongoza zoezi la kupuliza dawa(DC-Iringa mjini)

Viongozi wetu wa Serikali wakaanza kujitokeza na kuongoza harakati dhidi ya maambukizi ya Virus vya Corona,tukaambiwa tusali Kwa siku tatu kumuomba Mungu atuepushe Na Ugonjwa huu.Taifa zima likaitikia wito na kusali Kwa siku tatu maalum dhidi ya COVID-19.

Tukiwa katika mwendelezo wa kuomba Kama taifa Kwa umoja wetu, Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa aliongea na Viongozi wa Dini Na kuwapa takwimu za Wagonjwa hapo ndipo mkanganyiko ulipojitokeza.

Siku hiyo hiyo jioni Mh Rais alizungumza kutoka Chato na kusema..

1.Takwimu zinazotolewa siyo sahihi (kumbuka Watoa takwimu ni Waziri wa Afya Na Waziri Mkuu),

2.Kupuliza dawa siyo kinga bali Upuuzi(kumbuka zoezi hili liliongozwa Na Baadhi ya wakuu wa Mikoa)

3.Barakoa zisiaminike(Kumbuka wanaogawa wamethibitishwa Na Serikali)

4.Kuna uwezekano kuongezeka Kwa Idadi ya wagonjwa kumechangiwa na upulizaji (Kumbuka Wanaopuliza ni Serikali).

5.Tufikirie kutumia dawa zetu za asili(miti shamba)

Baada ya hapo tukaona ile kasi ya kutangaza wagonjwa wapya Kama imepungua.Taifa likaitikia wito wa kusaka mitishamba na Habari za Kusali na kuomba zikafifia.

Waziri wa TAMISEMI akajitokeza na kupigia chepeo tiba asilia na kusema Watu wajifukize (NYUNGU),wananchi baadhi wakajitokeza na kuanza kupiga nyungu huku kampeni ya kusali ukazidi zimika.

Tarehe 30.3.2020,Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu akaasa kuwa COVID-19 ni ugonjwa hatari na unauwa watu hivyo tuchukue tahadhari.

Siku tatu baadae Rais wa nchi akajitokeza Na kuuambia Umma.

1.Tuondoe hofu,huu ugonjwa siyo tishio Kama wengine wanavyoona.

2.Vifaa vinavyotumika kupimia sampuli ili kubaini Virus vinamashaka,kwani vimepima mpaka Mbuzi,Mafenesi,oil Na mapapai Na baadhi kukutwa Na Virus vya Corona.

3.Kuna uwezekano mkubwa kwenye vita Hii kuna mkono wa Mabeberu.

4.Anafikiria kurejesha michezo hususani Ligi ya soka Na anachosubiri ni ushauri kutoka Kwa wataalam wake.

5.Baadhi ya watu Na vyombo vya Habari wanakuza jambo hili kwani kuna Vyombo vya Habari vyenyewe Sasa habari ni COVID-19 nchini Tanzania tu.

Ukitafakari Kwa umakini mapambano dhidi ya COVID-19 utaona mambo yafuatayo.

1.Rais anaamini hii ni Vita inayochochewa na anaowaita Mabeberu dhidi ya Tanzania.(Ndiyo maana anauhusisha Ugonjwa huu na hao anaowaita Mabeberu).

2.Baadhi ya wasaidizi wake wanaamini huu ni Ugonjwa Kama yalivyo magonjwa mengine hivyo taifa liukabili Kama mataifa mengine.(Ndiyo Maana wanapotoa taarifa za COVID-19,hawauhusishi Na wanaoitwa Mabeberu).

3.Rais haamini hata taarifa za wasaidizi wake,Ndiyo Maana hakubaliani Na takwimu,Ugonjwa wenyewe kuitwa Janga(pandemic).

MT TAKE.

Kama Rais anaamini Hii ni Vita ya Kiuchumi dhidi ya anaowaita mabeberu ni wakati wa kuwaleta watu wote pamoja kwenye taifa hili badala ya kuwashambulia wanaomkosoa Na wanaoshambuliwa kujibu mapigo.

Moja ya makosa yaliyofanywa na Baadhi ya wanaumajumuhi wa Afrika miaka ya 50 mpaka 60 hususani Kwame Nkrumah,Gamal Nasser,Patrick Lumumba n.k ilikuwa ni kutowaweka pamoja wananchi wao ili wawapambanie hata wakati wa njaa.Hivyo basi ni vizuri.....

1.Rais afanye kikao cha ndani na cha siri Na....
(I) Viongozi wa dini zote
(ii) Viongozi wa Vyama vya Siasa
(iii) Wakuu wa Vyombo vya habari (wamiliki,ama mameneja au wahariri).
(iV)Viongozi wa kimila wenye nguvu Na ushawishi ndani ya jamii.
(v) Asasi za Kiraia
(vi)Wakuu wa Vyuo Vikuu Na watafiti
(viii) Wanasayansi
(Ix)Watunga Sera
(x) Wakuu wa taasisi zinaojumuisha watu wengi n.k

Rais awaeleze Kwenye kikao cha ndani ukweli kuhusu Hii vita anayoipigana maana inaonekana labda Vyombo vyake vinampa taarifa nyeti ambazo anazo Yeye peke yake huku wadau wakuu wa maendeleo wakiwa hawana,matokeo yake wakitofautiana nae kimkakati na kimawazo anawaita watu wanaotumiwa Na hao anaowaita maadui wa nchi.

2.Rais aweke utaratibu wa kuhakikisha kusiwe kuna mgongano na mkanyagano wa kimkakati na kimawazo Na wasaidizi wake,mfano Waziri mkuu anatoa takwimu,baadae Yeye anajitokeza na kuzikosoa,Makamu wa Rais anatoa maelekezo,baadae Rais anajitokeza na kutoa msimamo tofauti,Wakuu wa mikoa wanajitokeza na kutoa maelekezo,baadae Rais anajitokeza na kuyaita ni "Upuuzi"

3.Kuwekwe utaratibu labda mikakati yote ya kupambana Na Ugonjwa huu isemwe Na mtu mmoja badala ya tunachokiona sasa Rais kila akijitokeza anawakosoa na kuonekana kukerwa Na baadhi ya wasaidizi wake hadharani.

4.Mara zote Rais anapokuwa Na jambo dhidi ya mashirika /taasisi za kimataiafa ama nchi zenye nguvu kiuchumi Na kisayansi,nadhani itafutwe namna ya Kuwa "attack" Hawa watu,Kwa mtazamo wangu njia inayotumika haiwezi kutoa ushindi Kama kweli tupo kwenye vita,waliijaribu wanaumajumuhi miaka ya 50 Na 60 ikashindikana.

5.Kudhani wanaozungumza tofauti na
Serikali juu ya COVID-19 kuwa siyo wazalendo,wanatumika bila Kuwa na ushahidi nadhani si Sawa,nchi hii imesomesha Watu wengi Na Moja ya sifa ya msomi ni ujasiri wa kudadisi mambo tofauti Na wengine wanavyoona.

Na mwisho,Kama COVID-19 ni vita ya kiuchumi(Kama Mh Rais anavyoamini) Na siyo janga la dunia,(Kama wanasayansi wanavyoamini) Ni vizuri vita Hivi vikapiganwa tukiwa wamoja,tofauti Na hapo itakuwa vita ngumu.

Mwisho kabisa COVID-19 iwe ni janga ama siyo bali vita vya kiuchumi,ukweli ni kwamba dunia imeshapoteza mamilioni ya watu,mamilioni wengine wanaugua Na wapo malaki wamepona hivyo kila mtu Kwa nafasi yake achukue tahadhari dhidi ya COVID-19.

Tujenge taifa la kuaminiana,bila kutazama huyu Ni Chama gani?dini gani,Kabila gani.

Wana falsafa wanasema bora uchukue tahadhari Kwenye jambo ambalo yawezekana lisiwepo kwani kisipokuwepo utakuwa huja poteza kitu kuliko kutokuchukua tahadhari Kwenye jambo ambalo huamini Na baadae linaweza Maana utakuwa imepata hasara kubwa.

Wasalaaam Na Usiku mwema.
 
Hahaha kwasababu naye anayasoma haya nadhani atayafanyia kazi.

Alisema huwa anasoma, apewe muda atafakari.
 
Big up sana Bulendu. Wapumbavu wataona kama unatumika na mabeberu.
 
Kwanza kama wewe ni Dotto Bulendu tokezea kwa jina lake kama Pascal Mayala.
Pili kwenye issue ya Covid 19 sijaona nchi ambayo imechukua hatua bila kupata mawazo pinzani.

Mawazo pinzani yanatoka vyama vya upinzani, nchi jirani, wananchi, Mashirika ya Kimataifa n.k
Hapa nchini tusingesuguana sana ila uchaguzi mkuu ndo kichocheo kila mtu kutoa mawazo sahihi na yasiyo sahihi.
 
Kufanya kazi na Magu ni ngumu mno. Samia, Majaliwa na Ummy ni wavumilivu sana.....labda njaa ndio maana hawajiuzullu.
 
Ya nini kuadhibu maua,sababu ya miiba.subiri na uone,kitu gani nitafanya--kilikiligida
 
Kiunganishi kimechanganyikiwa na hakimwamini mtu yeyote. Si wataalam, viongozi wa dini, vyombo vya habari, n.k. Sijui sasa atamwamini nani? Halafu hao mabeberu ni akina nani? Hawa washauri wake nafikiri wanampelekea taarifa anazozipenda kusikia tu tene kwa mtazamo wake usio hata na uthibitisho wa kiutafiti.

Hivi kwa akili ya kawaida tu unapelekaje oil, fenesi na papai kwenye maabara ya taifa? Unaharibu vifaa vya maabara bure ukidai unamtafuta asiyejulikana. Anapambana na wasiojulikana.
 
Ilikuwa ni jambo la msingi kutest uwezo wa vifaa vya kupimia ili kuona viko sawa kiasi gani, Sasa tumeshajua kuwa kama vifaa vinaleta papai kuwa ni positive lazima kuna tatizo mahali na hiyo ndiyo hoja ya msingi ya JPM.
Kwenye hili JPM yuko correct 100%
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom