Dotto Biteko ni janga lingine, Rais Samia chukua hatua jamaa ataimaliza nchi

Wasije kusema kaonewa ngoja takukuru wafanye kazi yao hawezi kupona ni mwizi sana huyu mtu
Ni kweli. Ngoja tuone mbivu na mbichi. Ila kuuelewa mfumo wa upigaji yataka weledi wa hali ya juu. Na pia isije kua wanaotumwa kuchunguza ni watu wetu, na matokeo yakawa tofauti. Hapa ni Mkewe Kaizari na tuhuma "Caesar wife must be above suspicion"
 
Dotto Biteko unajua utaondoka Wizara ya Madini, ndo uibe kiasi hicho? Hizo pesa utakufa utaziacha.

Madini ya Tanzanite yanasafisishwa kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara na polisi katika mipaka yetu. Waziri badala ya kudhibiti anakuwa mashirika wa ufisadi huu. Hivi Dotto unadhani ukiiba madini yote itakusaidia nini kwenye maisha yako? Halafu kila siku kushinda kwa waganga ili Rais asikutumbue nakwambia uchawi una mwisho.

Percent za mgodi hazikutoshi sasa tamaa imekuzidi. Rais Samia huyu bwana akiachwa ataifilisi nchi.

TAKUKURU kama mlivyoagizwa fuatilieni huo wizi wa madini ili mliepushe taifa na majangili hawa wa mwendazake

Rais Samia
KAZI IENDELEE
Takukuru hawana maadili ya kuchunguza kitu kwa uadilifu. Kuna mambo mawili wanaweza kufanya au kutokea wakioewa kazi hiyo.
1. Kubambika kosa wakati si kweli
2. Kula rushwa wakati kuna uhalifu umefanyija.
Ova.....!
 
Ni ushamba mkubwa kiuongozi
Waziri utumishi unaamuru vyombo viende kwenye mradi wa waziri mwenzio wakati mnakaa baraza moja.Utumishi kuko ovyo huagizi ndani kwako washughulikie.
Waziri Mkuu ndiye angeagiza hivyo vyombo.Mtainua mabega na kumdemkia
huyu ni waziri wa utawala bora
 
Gorverment inf goes with paper.alisikika kayafa,
Huyo mwenye dhamana mabosi wa vyombo husika hawajui hadi atumie matangazo kwenda kuchunguza?
Agenda nikumdhalilisha Dotto kama hafanyi kazi.
Hiyo mbegu pandeni namjue namna yakuivuna.Tusijifanye wasafi kwa wateule,wataondoka
Sidhani kama Dotto ndo kaI yake ya Ulinzi..kama kunawizi wanaolipa hapo ni idara gani ndo tuanze nayo.Je hakuna watu wa usalama.wanaopeleka taarifa ikulu ili serikalo iweje kuintercept majizi kwa kuwakmata na kuwafilisi?
 
Kuna vijana humu wanatumiwa na baadhi ya viongozi kuja kuleta chokochoko humu.biteko ni muadilifu kuliko hizo chuki zenu zenu wesenge nyinyi

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Dotto Biteko unajua utaondoka Wizara ya Madini, ndo uibe kiasi hicho? Hizo pesa utakufa utaziacha.

Madini ya Tanzanite yanasafisishwa kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara na polisi katika mipaka yetu. Waziri badala ya kudhibiti anakuwa mashirika wa ufisadi huu. Hivi Dotto unadhani ukiiba madini yote itakusaidia nini kwenye maisha yako? Halafu kila siku kushinda kwa waganga ili Rais asikutumbue nakwambia uchawi una mwisho.

Percent za mgodi hazikutoshi sasa tamaa imekuzidi. Rais Samia huyu bwana akiachwa ataifilisi nchi.

TAKUKURU kama mlivyoagizwa fuatilieni huo wizi wa madini ili mliepushe taifa na majangili hawa wa mwendazake

Rais Samia
KAZI IENDELEE
Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
  1. Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
  2. Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
  3. Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
  4. Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
  5. Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
  6. Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.

Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.

Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.

P
 
Ndugu yangu, haya majungu tu unapiga humu. Dotto unaweza kumsema kwa mengine, lakini si haya ya kwamba anashiriki kutorosha madini nje ya nchi. Tambua kwanza kazi kubwa aliyoifanya tangu akabidhiwe wizara hiyo.
Wezi na waporaji tanzanite mnawajua sana, lakini kwa sababu mnataka Dotto aondolewe, mmejifunga vitambaa vyeusi usoni. Dotto ni nani hata awe na nguvu za kuwazidi JWTZ wanaolinda nje na ndani ya migodi ya Mirerani? Anawezaje kuwazidi nguvu hao walinzi wa Taifa? Akili yako ya kawaida inakutuma uamini kuna mtu anaweza kuiba madini katika mazingira hayo nje ya mfumo?
Mtendeeni haki Dotto na kama mnao ushahidi, basi uwekeni hadharani. Sana sana tunachojua ni kuwapo kwa genge kubwa linalomfitini kutokana na vita ya kimaslahi. Tumeshalijua.
 
Sisi tumeobua kinachoendelea Subiri kazi njema ya takukuru kila kitu kitakuwa wazi humo
 
Kuna vijana humu wanatumiwa na baadhi ya viongozi kuja kuleta chokochoko humu.biteko ni muadilifu kuliko hizo chuki zenu zenu wesenge nyinyi

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app

Kwani na yeye Biteko ana nia ya kugombea uraisi??!🥲🥲🥲 kila anaetoa comment ya madudu ya viongozi mnasema katumwa kumchafua mtu flani

Mwizi ni mwizi ukiwa msafi tutasifia
 
Dotto Biteko unajua utaondoka Wizara ya Madini, ndo uibe kiasi hicho? Hizo pesa utakufa utaziacha.

Madini ya Tanzanite yanasafisishwa kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara na polisi katika mipaka yetu. Waziri badala ya kudhibiti anakuwa mashirika wa ufisadi huu. Hivi Dotto unadhani ukiiba madini yote itakusaidia nini kwenye maisha yako? Halafu kila siku kushinda kwa waganga ili Rais asikutumbue nakwambia uchawi una mwisho.

Percent za mgodi hazikutoshi sasa tamaa imekuzidi. Rais Samia huyu bwana akiachwa ataifilisi nchi.

TAKUKURU kama mlivyoagizwa fuatilieni huo wizi wa madini ili mliepushe taifa na majangili hawa wa mwendazake

Rais Samia
KAZI IENDELEE

Pia soma: Hongera Jf kwa Whistleblow,JF Tubadilike, Tusichafue Bure Majina ya Watu Kwa Tuhuma za Hearsay Sizizo na Uthibitisho!, Ukituhumu, Weka Uthibitisho!.
Kuweni serious basi,yaani ccm wenyewe ndo waasisi wa hayo mambo. Leo huyu bwana mdogo aibe mpaka aifilisi nchi? Mleta maada tangu hiyo tanzanite ipatikane unajua nani anajulikana mzalishaji namba moja duniani?
Kama kunamakosa kafanya sawa lkn siyo kuifilisi nchi.
Nchi munaimaliza wenyewe watawala.
 
Ukisikia majungu ndio haya. Ukituhumu humu, leta na uthibitisho.
Hapa umevurumisha tuhumu lukuki dhidi ya Biteko-
Tuhuma zenyewe ni hizi
  1. Dotto Biteko ameiba kiasi kikubwa cha pesa, kiasi gani?-Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho!.
  2. Dotto Biteko ni mshirika usafirishaji madini ya Tanzanite kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara. How?. Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote?.
  3. Dotto Biteko anaiba madini mengi, ameibaje, ameiba wapi, madini yapi, - Ni tuhuma tuu, hakuna uthibitisho wowote.
  4. Dotto Biteko ana percentage kwenye migodi kibao, percentage ngapi, migodi gani?-Ni tuhuma tuu hazina uthibitisho wowote!.
  5. Dotto Biteko ni jangili wa mwendazake!. Ujangili gani?, unamtukana marehemu na kumsingizia ujangili?!, hii ni dhambi!.
  6. Doto Biteko kila siku anashinda kwa waganga, waganga gani?, hili la mtu kushinda kwa waganga pia linaingilia the right to privacy ya mtu, kama watu wanaoshinda hospitali, makanisani, nyumba za ibada a makanisa ya walokole, haya ni mambo ya imani, Tanzania tuko huru kuamini lolote, waumini wa Mungu washinde makanisani, waumini wa tiba za kizungu washinde mahospitalini, waumini wa dini za asili, tushinde kwa mizimu na waganga wa kienyeji, tusiingilie privacy za watu!.
Mode: JF tuweke standards za kulinda heshima na majina ya watu, dhidi ya mtu kuchafuliwa jina kwa chuki binafsi. Iongezwe kanuni, mtu ukileta tuhuma za mtu yoyote au kiongozi yoyote kwa jf as a whistleblower, lazima tuhuma hizo ziandamane na uthibitisho, ndipo jina la mtuhumiwa litajwe, kumtuhumu mtu kwa kumtaja kwa jina, bila ya uthibitisho wowote, ni kuchafua tuu bure majina ya watu.

Najua JF as a whistleblower, imefanya kazi nzuri na inaendelea kufanya kazi nzuri, lakini na sisi sasa ni lazima tubadilike, kwenye tuhuma, lazima tufanye a due diligence kwa kuhakikisha tunafuata sheria, taratibu na kanunu, "the one who alleges, must prove", ukileta tuhuma zozote za hearsay bila uthibitisho, yes zilete, as a whistleblower, but don't mention names without proof. Yaani leta tuhuma, lakini usitaje majina bali taja tuu cheo na indications zote ambazo zita point kwa mhusika bila kumtaja jina na kumchafua bila uthibitisho wowote!.

Nimetokea kumfahamu mtuhumiwa huyu kupitia kazi yangu ya uandishi, kwa mambo anayoyafanya hadharani, huyu ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
Msikilize Dotto Biteko kwenye video hii.

P

Afadhali umemjibu huyu mpika majungu. Ukiona hivyo ujue kuna genge limejipa assignment kuhakikisha Dotto anaondoka. JF sharti iwalinde watu wanaoshambuliwa bila ushahidi.
 
Dotto Biteko unajua utaondoka Wizara ya Madini, ndo uibe kiasi hicho? Hizo pesa utakufa utaziacha.

Madini ya Tanzanite yanasafisishwa kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara na polisi katika mipaka yetu. Waziri badala ya kudhibiti anakuwa mashirika wa ufisadi huu. Hivi Dotto unadhani ukiiba madini yote itakusaidia nini kwenye maisha yako? Halafu kila siku kushinda kwa waganga ili Rais asikutumbue nakwambia uchawi una mwisho.

Percent za mgodi hazikutoshi sasa tamaa imekuzidi. Rais Samia huyu bwana akiachwa ataifilisi nchi.

TAKUKURU kama mlivyoagizwa fuatilieni huo wizi wa madini ili mliepushe taifa na majangili hawa wa mwendazake

Rais Samia
KAZI IENDELEE

Pia soma: Hongera Jf kwa Whistleblow,JF Tubadilike, Tusichafue Bure Majina ya Watu Kwa Tuhuma za Hearsay Sizizo na Uthibitisho!, Ukituhumu, Weka Uthibitisho!.
Hahahaaa

Nape bwana. Akitumbuliwa utateuliwa wewe?
 
Back
Top Bottom