Namsikia msanii Ruby anaomba msamaha kwa Clouds Media kupitia XXL. Sijui ilikuwaje akaleta nyodo wakamtupa naona baada ya hali kuwa ngumu kajirudi.
Nyinyi wasanii msisikilize watu wakiwajaza upepo mtakufa njaa, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Jide hana njaa kama rubby.Kiboko yao Lady JayD
Ndio-ndio.Sio huyo tu Wale jamaa wa Ant virus.. walimtukana saana Ruge..
Ila mwaka 2015 walijirudi na track yao ya Time for the money walirelease hapo hapo.
What'p siwaoni sokoni. Clouds kwenye burudani wana nguvu saana.
Clouds wana nguvu sana, no matter how much u hate them!Sio huyo tu Wale jamaa wa Ant virus.. walimtukana saana Ruge..
Ila mwaka 2015 walijirudi na track yao ya Time for the money walirelease hapo hapo.
What'p siwaoni sokoni. Clouds kwenye burudani wana nguvu saana.
Vinega waliingilia ugomvi pasipo kuchanga karata.Ndio-ndio.
Unapaamua kupambana muhimu kuchanga karata zako vyema,ili usije ukawa kituko.
Clouds wana nguvu kwa watu design yako.Clouds wana nguvu sana, no matter how much u hate them!
Clouds wana nguvu kwa watu design yako.
Interview imedhihirisha nguvu kubwa walio nayo clouds katika, tasnia ya mziki....kwamba bila wao msanii huwezi kukua kimziki na kuwa na mafanikio.
Ruby anakiri wazi amemisi air time ya cloud's.. Ameenda mbali zaidi kwa kusema yeye ni mpumbavu... Mkubwa hakosei, na hatimae kaomba msamaha kwa cloud's pamoja na mashabiki wake.
Ni wazi kabisa cloud's wana nguvu kubwa katika tasnia ya mziki wa kibongo.