Don't Shout Argue - Mbowe ameitendea haki falsafa hii

Muheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Ametoa facts ambazo Kama Taifa ni Funzo kubwa sana. Thanks Mbowe WAzalendo wote tupo nyuma yako mpaka hili jambo lifike mwisho

Wacheni upuuzi fanyeni kazi
 
Nimefurahishwa sana,huu ndio uzalendo,hata kama kweli pesa zote zilikuwa za iptl or whatever we can call it,kwa nini hata kodi ya serikali haijalipwa?Nikimuona kijana kama Lusinde aka Kibajaji anavyoongea napata shaka sana na kizazi hiki,naumia sana rohoni,yuwapeleke wapi watoto wetu?Hivi kweli Pinda na wewe una uchungu na nchi hii au ni msaka tonge?Funikeni kombe mwanaharamu apite lakini kuna siku yaja.
 
kuna wenye masikio na wenye mashikio...utawaona tu kwa michango yao....
 
Daaaah! Mh. Mbowe ameongea Kizalendo sana. Sielewi CCM ni watu wa aina gani. Hawataki kabisa kuitetea nchi hii dhidi ya wahalifu wanaoifilisi nchi.

Wana mioyo migumu sana, wanatumia nguvu nyingi sana kuficha uozo.
 
Kweli nimemsikiliza kwa makini mheshimiwa Mbowe. Sisi watanzania tutaonekana wajinga tukifunika kombe ili mwanaharamu apite. Niliona Saada Mkuya na Mwingulu Nchemba walikuwa makini sana. Alitoa fact ilifika point nikaona upumuaji wa Werema umebadilika. hili suala ni kwamba hata mkuu wa nchi ana habari. BoT walichelewesha malipo na kuwaandikia serikali wajiridhishe. Walishaliona hilo. Mkuu wa nchi aliridhia kwa kushauriwa na mwabasheria. Halafu akina Rusinde wanaongea tu jama wako kwenye kijiwe cha wavuta bangi. Big up Mbowe!!!
 
Wacheni upuuzi fanyeni kazi

Give credit where it's due. Alivyoongea alikuwa critical and critique. Pale palipofanyika uzuri na palifanyika vibaya amesema. Lakini alichonifurahisha ambacho ni wito uliokuwa non partsan ni kuwa wakati wa Richmond kosa lilifanyika na wabunge pamoja na kamamti ya Mwakyembe were driven by vendetta, Lowasa phobia na mengine na sisi wananchi tukaaminishwa. maamuzi yakanyika bila ku assess impact. Mkataba wa Dowans ukasitishwa na hali ulibakiza miezi michahche uwe uwe automatically terminated. Kingine hatukujiuliza kama Richmond was a ghost company pesa ilikwa inaenda kwa nani. Je, tuliweka mikakati ya kuirudisha? Mbowe kagusa kuwa lazima tuangalie processes na systems available are they viable in this computerized digital world
 
Muheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Ametoa facts ambazo Kama Taifa ni Funzo kubwa sana. Thanks Mbowe WAzalendo wote tupo nyuma yako mpaka hili jambo lifike mwisho

mbowe ni sifuri, hamna kitu pale
 
Nimefurahishwa sana,huu ndio uzalendo,hata kama kweli pesa zote zilikuwa za iptl or whatever we can call it,kwa nini hata kodi ya serikali haijalipwa?Nikimuona kijana kama Lusinde aka Kibajaji anavyoongea napata shaka sana na kizazi hiki,naumia sana rohoni,yuwapeleke wapi watoto wetu?Hivi kweli Pinda na wewe una uchungu na nchi hii au ni msaka tonge?Funikeni kombe mwanaharamu apite lakini kuna siku yaja.

Well said. I second
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom