Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,632
- 28,629
Mchombezo wenyewe uendane na miamalaKama ndivyo inabidi kuendelea na kuchombeza chombeza
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Mchombezo wenyewe uendane na miamalaKama ndivyo inabidi kuendelea na kuchombeza chombeza
Na Mtoto halali na hela aseme AminaOngezea kwamba , pesa za maana.
AminaNa Mtoto halali na hela aseme Amina
Hilo la muhimuMchombezo wenyewe uendane na miamala
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Labda nimuulize the one and only, baby Khantwe kwamba anahitaji nini hasa! Sox packs au fedha?!Tafuta kimoja wapo basi kati ya "Sox" packs ama hela za maana lols
Hizo six packs tayari my Khantwe keshasema hazitaki kwahiyo hazininyimi raha aisee sema tu Khantwe mwenyewe namsubiria hapa anieleze jana alikuwa wapi 🤨Sox packs tushatoka huko tupo kwenye six packs sasa
Nilikuwa naugua kutokukuona muda wote huu mpenzi wangu! Uko poa lakini ?mambo mpenzi, umeamkaje
My Princess hatembelei watu bila ruhusa yangu no matter what!Alikuja kunitembelea rafiki yake
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀My Princess hatembelei watu bila ruhusa yangu no matter what!