Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Ha ha haaa sifa njema hazipingwi hata kama sina
Ahsante
Hahaha, pale Wasira anapoambiwa ana baby face, very handsome.
Ha ha haaa sifa njema hazipingwi hata kama sina
Ahsante
Kwa sababu linalowezekana leo lisingoje kesho,ngoja ngoja huumiza tumboKwa nini iwe Leo??
Yule mbona hb kabisa jamaniHahaha, pale Wasira anapoambiwa ana baby face, very handsome.
Nimekubaliana na weweKwa sababu linalowezekana leo lisingoje kesho,ngoja ngoja huumiza tumbo
Man u wasiwatishe...Kwanza washaanza kuzikimbia jezi zao
Nitakuwa nakuja
Kwanza nmefurahi tumebeba kikombe
Kwanini!??Duh!
Unanitisha sasa
Mechi nyingine Ni lini kwani?Sasa je tupo juu kabisa jivunie hilo utamkuta @aminaas
Wacha kabisa unajiongeza tuHahaha, pale Wasira anapoambiwa ana baby face, very handsome.
Yule mbona hb kabisa jamani
Hahaha, anyway. Mimi kama mwanaume siwezi na sitakiwi ku-object mtazamo wa mwanamke juu ya u-handsome wa mwanaume mwenzangu.
Man u wasiwatishe...Kwanza washaanza kuzikimbia jezi zao
Nitakuwa nakuja
Kwanza nmefurahi tumebeba kikombe
Kumbe hadi wanaume huwa mnajuana wazuri Ni wapi na wabaya Ni wapi
Kwa sasa ni mapumziko upande wa vilabu ni mataifa tu yanapambamnana kwa sasaMechi nyingine Ni lini kwani?
Ohh!Kwanini!??
Usiogope
Wewe Ni moja Kati ya watu ninaowakubali Sana humu jf
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Wacha kabisa unajiongeza tu
Usimuache yule mdada wakuomba dua aminas tafadhaliThe First Lady of JFs Liverpool Supporters.
Karibu sana.
AkhsanteThe First Lady of JFs Liverpool Supporters.
Karibu sana.
Usimuache yule mdada wakuomba dua aminas tafadhali
Akhsante
Kikubwa tu mnipe ratiba za mechi
No, ni mfano tu nimeucopy sehemu.
Maana huwa Wasirra ndiyo reference ya mfano humu JF.