Dont ever loose your hope/usikate tamaa kabisa maishani

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
WAKUU NIMEONA LEO NIWALETEE STORY MOJA YA UKWELI AMBAYO ITAENDANA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU

WATU WENGI WAMEKUA HAWATHAMINI VITU WANAVOVIFANYA AU WAMEKUA HAWAAMINI KAMA KITU HICHO KIDOGO

ANACHOKIJUA KINAWEZA KUMTOA MAISHANI, NATAKA NIWAPE MFANO MMOJA WA VIJANA WA HAPO JIRANI MOZAMBIQUE

AMBAO WENYEWE KAZI YAO KUBWA NI KUCHEZA KWAITO KWENYE MASHEREHE MBALIMBALI MFANO YA HARUSI NA KADHALIKA

YAWEZEKANA NA WAO NISINGEKUA NAWAONGELEA LEO KAMA WANGEKATA TAMAA KATIKA SHUGHULI YAO, VIJANA HAWA KATIKA

KUCHEZA KWAITO SIKU YA SIKU(MUNGU SI ATHUMANI) WAKAONEKANA KWENYE YOUTUBE, NA KILA MTU AKAVUTIWA NA JINSI

WANAVYOCHEZA, BASI MMOJA WA HAO WATU ALIKUA NI BEYONCE, BASI AKAPENDA KUIIGA ILE STYLE YAO YA UCHEZAJI KWENYE

VIDEO YAKE MPYA(RUN THE WORLD) LAKINI KAMA NAVOSEMA MUNGU SI ATHUMANI HAWAKUWEZA KABISA KUIIGA ILE STYLE SO

IKABIDI BEYONCE AAMURU WATAFUTWE POPOTE WALIPO NA WAFLY MPAKA MAREKANI. UNAAMBIWA ILIWACHUKUA MIEZI MIWILI

KUPATIKANA KUTOKANA NA KWAMBA WANAISHI KIJIJINI SANA. SO WAKAPATIKANA WAKAENDA MAREKANI WAKACHEZA KWENYE VIDEO

YA BEYONCE(RUN THE WORLD-GIRLS) NA MPAKA SASA HAWA JAMAA NI MAARUFU ASIKWAMBIE MTU WAMEKUA WAKIPATA MIALIKO

MIKUBWA SANA. CHA KUCHEKESHA HAWA MADOGO WALIKUA HAWAMJUI HATA BEYONCE NDO NANI, SO WALIPOKUTANA NA BEYONCE

FOR THE FIRST TIME WALIMUULIZA WEWE NI NANI?? HAHAHAHHAHAHAH LAKINI BEYONCE TAYARI ALIKUA ANAWAJUA KAMA TOFO

TOFO, SO WEWE UNAWEZA KUKATA TAMAA UKADHANI KITU UNACHOKIJUA NI KIDOGO SAAANA KUMBE KWA WENGINE TENA WAKUBWA

NI KITU KIKUBWA SAAAAAANA, SO GUYS DONT EVER GIVE UP IN LIFE NA WALA USIJIDHARAU JIAMINI........WAANGALIE MSTARI WA

MBELE HAPO, HAO WALIOFUNGA VILEMBA(KUSHOTO NA KULIA KWA BEYONCE)




HAPA WAANGALIE WAKICHEZA HARUSINI KWAO, UTAGUNDUA HIZO MOVES NI ZILE ZILE



ASANTENI NA MBARIKIWE.......
 
Last edited by a moderator:
Very inspiring! I liked it. God bless you for sharing this wonderful story. Thanks
 
Penye nia pana njia mtu ukiwa na msimamo wa maisha na kukishikilia kidogo ulichonacho kwa kweli maisha yako yatabadilika especially vijana tuchukue hatua
 
Kaka thanks saana! Habari nzuri sana hii mie nilipo hapa nimevaa headset namsikiliza King kiki na Dora Mtoto wa Dodoma/Orch.Maquis "Kamanyola Bila Jasho" aaah mziki mtaamu sana huu hasa hapa anaposema 'yakayaka eeeh mwanamama ndimandimaeeeee mwanamama, niachie niwangu nimeshamzoeana eeeenh aaaah Bongo tamu ajabu shubiri kaaingiza CCM!!
 
hahhaahahhaha asanteni wadau, niliona tushirikishane kwenye mambo kama haya sio kila siku tunafurahia watu wanapo-fail maishani, tunatakiwa kupeana moyo na vilevile tupende vitu vidogo ambavo tunaviweza. tutatoka tu....
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom