Dont Ask What Tanzania Can Do for You Ask What You Can Do For Tanzania

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
[FONT=arial, Arial, Helvetica]In President John F. Kennedy's Inaugural Address, he provided what is quite possibly one of his most famous quotes:[/FONT]​

[FONT=arial, Arial, Helvetica]"My fellow Americans, ask not what your country can do for you -- ask what can you do for your country." [/FONT]​

[FONT=arial, Arial, Helvetica]"My fellow citizens of the world, ask not what America will do for you, but what together we can do for the freedom of man."[/FONT]​

[FONT=arial, Arial, Helvetica]"It is now the moment ...to recall what our country has done for each of us, and to ask ourselves what we can do for our country in return."[/FONT]​

What Can We Take From This

Ni wakati wa kuacha bra bra na kujiuliza nimefanya nini kwa ukombozi wa nchi yangu
Je nilipiga kura, Je Nachangia vipi kubadilisha nchi yangu na kuifanya iwe bora
Je naweza kufanya nini......
Je naweza kutoa elimu ya uraia kwa wenzangu wasiojua, je naweza fanya nini katika issue ya katiba
Wadau naomba tufikilie kwa mwaka Jana wote ni kipi ulifanya kukuza hii nchi yetu​
 
That is how it should be; the one who wants to be first must be last, service for the country....let us work for the common good of all Tanzanians....tusiweke itikadi mbele
 
Badala ya kulaumu, na kunyosheana vidole inabidi tuwajibike, Watu tumekuwa selfish kila mtu anaangalia maslahi yake... Rushwa imejaa.. Huwezi kupata huduma yoyote mpaka utoe rushwa... Watu hata hawaogopi kuomba rushwa tena... Ukipata Kazi nzuri sehemu nyeti watu wanategemea huwa umetajilika within two years ukiwajibika na usipoiba wanakuona mjinga, umezubaa.... Hivi kweli how did we get kwenye hali hii... wizi na rushwa imekuwa part and parcel ya maisha yetu
 
Everyone of us can make some positive change from where he or she is no matter how small it is.

Ikumbukwe kuwa bandubandu humaliza gogo.
 
Everyone of us can make some positive change from where he or she is no matter how small it is.

Ikumbukwe kuwa bandubandu humaliza gogo.

Kweli kaka lakini nimenotice we tanzanians we expect to take a lot and give nothing....... Hususan people kwenye public services wamefanya kazi kama ni private business.... uwajibikaji imekuwa kama wanatoa favour. Tatizo ni kwamba hii imeshakuwa our culture, kufanya u-turn itakuwa ngumu sababu watoto wanaozaliwa leo wanakulia kwenye huu upuuzi wanazoea wanaona this is the way to live
 
Waziri Wetu Wa Zamani Wa Mambo Ya Ndani Lau Masha that's his favorite quote in his FACEBOOK Account
Na Angalia ni FISADI hakuona aibu hata kuchukua Door locks

Actions Speaks Lauder than Words!!!!!
 
Waziri Wetu Wa Zamani Wa Mambo Ya Ndani Lau Masha that's his favorite quote in his FACEBOOK Account
Na Angalia ni FISADI hakuona aibu hata kuchukua Door locks

Actions Speaks Lauder than Words!!!!!

My point exactly Just because mtu ni fisadi haitukatazi sisi kuwa wema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom