The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,884
Zamani kidogo wakati wa uongozi wa Bill Clinton USA....kulikuwa
na policy wanaiita 'Don't ask don't tell' kwenye jeshi la Marekani....
hii iliwahusu Gays walioko kwenye jeshi....serikali iliiona ikisema
inawatambua italazimka kujadili na kutambua haki zao mbali mbali
bora ijikaushe ijifanye haiwaoni....na wao gays walitakiwa kutojitangaza....
kwa hiyo sera ndo ikawa hiyo....'gay hajitangazi..na jeshi linafanya halimuoni'
au halijui kama yupo na mtu yoyote jeshini hatakiwi kusema lolote lile kama
kuwatambua ...'don't ask don't tell...
Siasa zetu sasa naweza kusema zimefika mahali kila mtu mwenye akili
anatakiwa kujifanya 'haoni lolote lile ambalo haliko sawa'
vinginevyo unaweza jikuta unachangiwa matibabu au unazikwa..
don't ask don't tell.... ni mwendo wa kuigiza tu kuwa kila kitu shwaari...
nchi iko vizuri,,,na mambo yanaenda sawa kuelekea Tanzania ya Viwanda.....