Dongo la Rais Magufuli, askofu Bagonza kufungua makanisa ili yaanze ibada

Anafungua kanisa, Corona imeisha?
maana Kwa mjibu wake, Corona ni hatari Kwa kanisa analoliongoza, inakuweje watu anaowaongoza awatie kwenye tanuru?

Nadhani Hadi hapa atakuwa na yeye amejifunza nini Maana ya Imani na sio nini Maana ya Itikadi kwenye Imani
Kwani kufungua vyuo,mashule,mabaa huko DSM na usafiri wa anga ni kua Covid-19 imeisha nchini?
Nilishangaa kufunga hizi huduma wakati hamjui lini Covid-19 itaisha.
 
Anafungua kanisa, Corona imeisha?
maana Kwa mjibu wake, Corona ni hatari Kwa kanisa analoliongoza, inakuweje watu anaowaongoza awatie kwenye tanuru?

Nadhani Hadi hapa atakuwa na yeye amejifunza nini Maana ya Imani na sio nini Maana ya Itikadi kwenye Imani
Paulo usikirupuke,tafuta tena uzi unazungumzia Bagonza alivyofunga ibada alivyoeleza.Alisema kuwa anaanda utaratibu mzuri wa kufanya ibada nje na ule wa awali.Na kuna mambo mengi ambayo alieleza yafanyiwe kazi na kamati yake.Na siku 21 alizosema nadhani jumapili hii zinaisha,sasa kosa lake liko wapi?
Usipende kuwashutumu watu kwa maneno yasiyo yao utapigwa ukoma kama Akan na na ukoo wake au kama Miriam maana nae alieona anazungumza kwa hekima,akamuudhi Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni spiritual corruption....hii ilikua harambee ya kuchangia au sadaka ya shukrani.Yaan jiwe haoni tabu kutumia mafwedha ya umma anapotafuta sifa
Hukumsikiliza wakati anachangia hizo fedha! Alisema huo ni mchango wake yeye na mke wake na vijana wake wa usalama anaozunguka nao.

Badala ya uhoji fixed account yenye bilion 8 za chadema ilipo wewe unahoji hiyo milion 10 iliyotolewa kwa uwazi kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aulizwe yeye, kusudi la kufunga lilikuwa ni lipi haswa!! Je kusudi la kufungua nalo ni nini Wakati bado hajasikia Dunia ikitangaza Corona imeisha

Maana yeye alifunga asubiri Dunia umwambie sasa fungua!! Mtu yeyote anapochanganya Imani na Dunia ni lazima aboleke!!!
Alikuwa na mihemuko ya kichadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni spiritual corruption....hii ilikua harambee ya kuchangia au sadaka ya shukrani.Yaan jiwe haoni tabu kutumia mafwedha ya umma anapotafuta sifa
Ukiwa masikini wa kimwili kunapossibility kubwa pia ya kuwa masikini wa kiroho, hivi Magufuli kwa kuwa Raisi wa Tanzania kwa miaka minne mpaka sasa anashindeaje kupata million kumi mpaka kila hizo alizozitoa useme ni mali ya Umma? Unaumwa ww si bure.
 
We zombie umetokea wap unavamia tu
 
Askofu Bagonza wa KKKT huko Karagwe anatarajiwa kuruhusu ibada ziendelee baada ya kuzuia kwa muda ili waamini wake wajikinge na Covid 19.

Anatarijiwa kutoa mwongozo wa namna ipi ibada zitaratibiwa ili kwalo waamini waepukane na maambukizi ya Covid 19.

Mungu ibariki Tanzania na timu ya Yanga.
Nadhani sasa COVID-19 imeisha. Ajifunze kutofautisha kati ya Imani na Itikadi za kisiasa.
 
Back
Top Bottom