Dongo jingine kwa waandishi wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dongo jingine kwa waandishi wa habari

Discussion in 'Jamii Photos' started by Steven Robert Masatu, Sep 13, 2012.

 1. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni waandsihi nadhani mnakumbuka kile kibonzo ya kenya cha kuwalamba wanasiasa miguu.

  sasa nakuleteeni kingine, hiki kimeandaliwa hapahapa tanzania, tunahitaji maelezo kwa hili

  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • kan.jpg
   kan.jpg
   File size:
   29.7 KB
   Views:
   534
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kaa mbali na kamuhanda! hapana chezeiya yeye na pacific.........., nisaidieni jina la mhalifu jamani! lol! i lvuuuu tanzania, full of dramas!
   
 3. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  jina la mhalifu ni pasifious but ana namber mbili tofauti za jeshi la polisi.
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  he!!!namba mbili tofauti!!!!huyo hafukuzwi kazi,akifukuzwa kwa namba 1 anabaki na ile nyingine!!!
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hapo ndo huwa nashindwa kuwaelewa polisi,kuna siku nipo kituoni, mama mmoja akaja analia akisema jamani mwanangu nimeshuhudia akibakwa na mbakaji wala hajafika mbali njooni mnisaidia kumkamata,polisi akamuuliza kwani una bei gani hapo ulipo mama tukusaidie....
   
Loading...