Dondosha nyuzi/threads zenye kufurahisha humu Jamii forum 2021

Itovanilo

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
2,314
5,138
Hello Jamii forum, kheri ya Christmas na mwaka mpya,kazi iendelee

Iko hivi katika pita pita zangu humu jamii forum kuna mengi unayakuta yenye kufurahisha,kuburudisha

Nyuzi za kuelimisha na kuchekesha pia,lakini katika jukwaa la picha Nako kuna burudani ya kutosha

Moja ya thread inanifurahisha kila napoiona ni hii,eti...

Tuliokosea kuoa tujuane"

Post hii kwangu inanichekesha sana

Kwa upande wa picha ni hii kwangu inanihuzunisha sana
JamiiForums684479142.jpg
 
Back
Top Bottom