Dondoo za Usalama unapotumia Mitandao ya Kijamii

Status
Not open for further replies.
Labda nitoe maelezo kidogo ya VPN, naona kuna wasomaji wengi wanauliza kwa kutofahamu matumizi yake. VPN maana yake ni Virtual Private Network, matumizi yake haswa ni kutumia network nyingine badala ya ile uliyonayo.

Nitatoa mfano:

Uko TZ lakini unaweza browse internet/mtandao kama mtu alieko US au mahali mengine. Au kwa mfano uko nyumbani ukatumia internet kama vile uko ofisini n.k.

Lengo lake kwa mfano kama kuna firewalls zinazotumia IP, kwa hio IP ya office ina access lakini sio za nyumbani. Kwa hio wafanyakazi wote wakiwa nyumbani wana-connect kwa kupitia VPN n.k.

P:S
- Sidhani kama VPN ni kosa la jinai, pengine kwa TZ wengi watakuwa wanatumia kuongeza privacy au protection ya kuwa identified. I hope this info helps.
 
Labda nitoe maelezo kidogo ya VPN, naona kuna wasomaji wengi wanauliza kwa kutofahamu matumizi yake. VPN maana yake ni Virtual Private Network, matumizi yake haswa ni kutumia network nyingine badala ya ile uliyonayo. Nitatoa mfano, uko TZ lakini unaweza browse internet/mtandao kama mtu alieko US au mahali mengine. Au kwa mfano uko nyumbani ukatumia internet kama vile uko ofisini n.k.

Lengo lake kwa mfano kama kuna firewalls zinazotumia IP, kwa hio IP ya office ina access lakini sio za nyumbani. Kwa hio wafanyakazi wote wakiwa nyumbani wanaconnect kwa kupitia VPN n.k.

P:S
- Sidhani kama VPN ni kosa la jinai, pengine kwa TZ wengi watakuwa wanatumia kuongeza privacy au protection ya kuwa identified. I hope this info helps.
Bado sijaelewa kidogo.Usalama unapatikana vipi ukitumia VPN wakati yenyewe inahitaji data kutoka mitandao ya nchi husika.
 
Mleta mada usidanganye wenzio kuwa unaweza kuwa salama ukitumia mtandao wa internet hicho kitu hakipo wakiamua wakudake watakudaka tu ndo maana Osama alisurvive mda mrefu sababu mbili tu:

1) Alikuwa anatumia sana vita ya mapangoni na kujifichia humo kitu ambacho hakuna satelite au kifaa kinachoweza ku-track chini ya ardhi na ndo hapo alipovumbua Tora Bora kasome vizuri

2) Alikuwa hatumii simu wala kifaa chochote chenye Internet kwenye mawasiliano yake ndo hapi alitoa msemo wake maarufu wa 'If you live like you are in the past, the future will never catch you'
 
Bado sijaelewa kidogo.Usalama unapatikana vipi ukitumia VPN wakati yenyewe inahitaji data kutoka mitandao ya nchi husika.
Usalama unaoweza kupata ni katika sense ya kuwa mtumiaji anatokea sehemu ambayo watu wanaiamini. Fikiria kwa mfano computer ya benk, kwa hio hacker/mhalifu alie nje ya network ya bank hawezi kuifikia. Lakini wafanyakazi wa benk wanaweza kuifikia kwasababu wao wamepewa access kupitia local network.

P:S
Mfano wangu hapo juu hauzumzii matumizi ya kitanzania ambapo watu wanaogopwa kunyakwa na serekali. VPN haikuanzishwa baada ya serekali ya TZ kuanza purukushani. Kama nilivyoeleza awali, pengine wengi wanajisikia wako salama kwa vile hawawezi kuwa identified kutokana na wao kuwa categorized kama watumiaji wa nje ya nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom