NIMO PRDCTZR
Senior Member
- Feb 10, 2016
- 146
- 83
Endelea kuongeza Na vitu vingine vinavyotakiwa ikiwemo na amichakato yake inakuaje........niko hapa naendelea kukusikiliza.....Kuomba scholarship ni mchakato sio swala la wiki ama mwezi kama uko serious anza sasa kufikia 2021 mwezi wa 6 utakuwa na mwelekeo mzuri
Andaa motivation letter, heath form hapa unapaswa kupimwa na kuanza kinga ya hepatitis A & C
Fanya TOEFL/ Test
Andaa reference letter 2
Andaa Concept Note
Scan document ya vyet vyako
Kuwa na international passport
Scan passport photo
Ukimaliza unaweza kuanza kuapply na kuboresha documents zako kuendana na uhitaji na muda
Kama umewahi kuomba scholarship siku za nyuma ukakosa ni vizuri kwani utakua na uzoefu wa kujibu maswali na unajua exactly nini unataka kusomea unaweza kuwa na GPA kubwa lakini usipate sababu ya poor motivation and research study area