Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Naomba kuuliza.Ili uweze kupata scholarship ya MASTERS DEGREE nje ya Africa inabidi uwe na G.PA ya ngapi kwenye undergraduate degree yako?.Mi nimesoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, pamoja na majibu mazuri ya mdau hapo juu kuhusu swali lako, lakini ukweli utabaki palepale, kwamba ukiwa na GPA nzuri angalau Upper Second, probability ya kupata inakuwa kubwa kwa kujumuisha na mambo mengine aliyosema mdau hapo.
 
Habari
Mimi nataka kusomea aviation-piloting, nahitaji sponsors msaada tafadhali.

Unahitaji sponsor au scholarship ya abroad?sasa hivi scholarship za undergraduate inabid uwe ni exception,hivi hivi tu ni ngumu labda uwe na mchuzi!au kama kwenu kuna mpunga!La sivyo subir masters
 
Habari zenu wakuu, mimi nina Advance Diploma of Procurement and Supply GPA lower second 3.3 TIA, je hapo naweza kupata scholarship ya masters nje ya nchi??
 
Wakuu nina Diploma ya Computer Science nina GPA ya 4.0 ,Je naweza pata scholarship ya bachelor in Computer Science or Software Engineering ?
 
GOOD NEWS KWA WANAWAKE WOTE: SERIKALI IMETANGAZA UDHAMINI WA MASOMO KUSOMEA MASTERS 2019/2020*
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

*WANAWAKE WOTE WALIOHITIMU VYUO VIKUU-FULLY FUNDED SCHOLARSHIPS KWA UDHAMINI WA BENKI YA DUNIA NA JUMUIYA YA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI*
*_____________________________________*

*Vigezo*:
• Uwe mwanamke chini ya umri miaka 35
• Uwe muhitimu wa Chuo kikuu kinachotambulika na TCU
• Na ufaulu uliotajwa

*Scholarships Fully Funded👇*

♻ *Utapewa Laptop ya kusomea na Vitabu*👩🏿‍💻📚
♻ *Utapewa Fedha ya matumizi kila mwezi ( Million 1.6 Tshs)*💰
♻ *Utalipiwa Ada na gharama zote za masomo*
♻ *Utalipiwa Usafiri wa Ndege*✈
♻ *Utapewa Fedha ya Research*

Scholarships kwa Fani hizi:

👉 *Fani za Uwalimu- Education*
👉 *Fani za Afya- Health Fields*
👉 *Fani za Kilimo- Agriculture*
👉 *Fani za Engineering/ Industry*
👉 *Mathematics*
👉 *Applied Statistics*
👉 *Petrolium*
👉 *Geoscientists*
👉 *Technicians*

*Deadline: June 30,2019*

*Bonyeza Link-download Application Form na APPLY ONLINE*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

*Warning🚫⚠ : HAKUNA KUFANYA MALIPO YOYOTE KATIKA KU-Apply

*SAIDIA KUSHEA FURSA HII IWEZE KUWAFIKIA WANAWAKE WOTE WENYE UHITAJI WA UDHAMINI NA FURSA HII WATUME MAOMBI YAO MAPEMA* 🇹🇿🇹🇿🤝🤝
 
Wakuu nina bachelor degree in business administration G.P.A yangu ni 4.1 nahitaji kwa mwenye ufahamu au ataeweza kunisaidia kwa namna yoyote kupata scholarship ya kusoma masters. mwenye ufahamu wowote na ataeweza kusaidia jaman
 
Wakuu nina bachelor degree in business administration G.P.A yangu ni 4.1 nahitaji kwa mwenye ufahamu au ataeweza kunisaidia kwa namna yoyote kupata scholarship ya kusoma masters. mwenye ufahamu wowote na ataeweza kusaidia jaman
Umehitimu lini na Je, una experience ya muda gani kazini.?
 
Back
Top Bottom