Mkuu, pamoja na majibu mazuri ya mdau hapo juu kuhusu swali lako, lakini ukweli utabaki palepale, kwamba ukiwa na GPA nzuri angalau Upper Second, probability ya kupata inakuwa kubwa kwa kujumuisha na mambo mengine aliyosema mdau hapo.Naomba kuuliza.Ili uweze kupata scholarship ya MASTERS DEGREE nje ya Africa inabidi uwe na G.PA ya ngapi kwenye undergraduate degree yako?.Mi nimesoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION
Sent using Jamii Forums mobile app
+8613164621057: wakala vyuo vikuu China, kujisomesha private na kuhusu ufadhili wa masomo yani scholarship
Kwanini tusianzishe group la WhatsApp la Scholarships?
Unataka ukamuone Ibrahim Pasha sioKuna waliochaguliwa kujiunga na scholarship za uturuki?
Unataka ukamuone Ibrahim Pasha sio
Hili Wazo Limefikia Wappii?Kwanini tusianzishe group la WhatsApp la Scholarships?
Naona watu wako kimya mkuu. Mi naamini umu kuna watu wazoefu sana na Scholarships wanaweza toa mawazo Yao mazuri kwenye group la whatsappHili Wazo Limefikia Wappii?
Ndio Wapoo mzeeNaona watu wako kimya mkuu. Mi naamini umu kuna watu wazoefu sana na Scholarships wanaweza toa mawazo Yao mazuri kwenye group la whatsapp
Habari
Mimi nataka kusomea aviation-piloting, nahitaji sponsors msaada tafadhali.
Unapata bila ShakaHabari zenu wakuu, mimi nina Advance Diploma of Procurement and Supply GPA lower second 3.3 TIA, je hapo naweza kupata scholarship ya masters nje ya nchi??
Umehitimu lini na Je, una experience ya muda gani kazini.?Wakuu nina bachelor degree in business administration G.P.A yangu ni 4.1 nahitaji kwa mwenye ufahamu au ataeweza kunisaidia kwa namna yoyote kupata scholarship ya kusoma masters. mwenye ufahamu wowote na ataeweza kusaidia jaman
Nmehitimu mwaka Jana. Experience nafanya kama intern tu ktk kampuni ya mikopo.. sijawa na ajira rasmi bado.Umehitimu lini na Je, una experience ya muda gani kazini.?