John kisomo
Member
- Jan 21, 2019
- 22
- 39
Scholarship za China dirisha liko wazi sasa kwa yeyote anayetaka kuomba wakati ndio sasa.
Mnatoaje huduma?www.scholarshipposition.com
Hilo ndio chimbo la scholarship zote duniani; fanya kuzama huko; ukipata scholarship unayotaka fanya kutucheki, tutumie link tukusaidie kufanya application; kama uko bize sana au hauna utaalamu wa kutosha na uzoefu. tupo kukuhudumia.
Fanya kutucheki inbox au whatsapp +8613164621057
The Embassy of United Republic of Tanzania in China (Embassy of the United Republic of Tanzania Beijing, China) is pleased to announce opportunity to study *International Master of Public Health* (IMPH) at *Tsinghua University* under “YOUTH OF EXCELLENCE SCHEME" successful candidates will be eligible for CHINESE GOVERNMENT SCHOLARSHIP.
Tsinghua University is among the most reputable higher learning institutions in China.It was established in 1911 and currently has 19 colleges, 55 departments, 21 national key labs ans 11,735 staff members. Tsinghua also has two nobel prize winners, Lee &Yang Chen
Interested applicant may visit online application, *The application deadline is March,2019*
website:gradadmission.tsinghua.edu.cn.
For further information candidates contact;Ms. Emily Yin
Email: phrc@mail.tsinghua.edu.cn
Tel: +86 10 6279 4936
Mobile: +86 152 1045 7769
Nchi gani ni nzuri kati ya hizi;
1.USA
2.CHINA
3.UK
4.FRANCE
5.SOUTH KOREA
6.CANADA
7.JAPAN
Kwa kusoma Undergraduate degree ya;
*business administration
*information technology
*agribusiness
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza.Ili uweze kupata scholarship ya MASTERS DEGREE nje ya Africa inabidi uwe na G.PA ya ngapi kwenye undergraduate degree yako?.Mi nimesoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema?Scholarship za China dirisha liko wazi sasa kwa yeyote anayetaka kuomba wakati ndio sasa.
Shukrani sana.Mkuu navyoelewa mimi lazima upate chuo kwanza.kila scholarships inakuwa na vigezo vyake lakini ,tafuta scholarships Halafu angalia vigezo wanavyotaka kama wameweka gpa wanayoitaka utaiona lakini mara nyingi inakuwa na gpa ya kuruhusu kupata chuo,kwenye scholarships awaangalii gpa peke yake mkuu.
,wanamaswali yao mnakuwa mnajaza ya kujieleza ukielezea vizuri unanafasi kubwa ya kupata sasa kama umejielezea vibaya na gpa yako kubwa sizani kama watakubali? Pia kuna kuwa na idadi ya watu wanaowataka.
Kuna baadhi ya vyuo ukimaliza kujaza application ya chuo mwisho kunakuwa na Application’s za scholarships unakuwa unachagua tu kwa kuzipa tick kama utameet vigezo wao watakavyoona wanakupa scholarships.
Na pia experience ya kazi pia inaweza kupapa scholarship .
Kikubwa kuangalia wanataka vigezo gani na pia kujaribu kuomba tu maana kuomba scholarships ni bure ni muda wako tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante sanaMkuu navyoelewa mimi lazima upate chuo kwanza.kila scholarships inakuwa na vigezo vyake lakini ,tafuta scholarships Halafu angalia vigezo wanavyotaka kama wameweka gpa wanayoitaka utaiona lakini mara nyingi inakuwa na gpa ya kuruhusu kupata chuo,kwenye scholarships awaangalii gpa peke yake mkuu.