Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

H
Hizi IELTS tests ndo kikwazo mkuu

Hio IELTS ni kuisomea na kujipanga vya kutosha. Huo mtihani wanasema hata native speakers wasipousomea ni rahisi kufeli.. ni kuusomea tu! Na huu mtihani wa IELTS ni kigezo kikubwa muhimu kwa prospective applicants wa scholarships mbalimbali!
 
Wadau anayefahamu namna ya kuandika jinsi ya kuandika mradi kuomba ufadhili, msaada wa vifaa mfano meza za shule, viti kutoka taasisi kama benki ,au MTU binafsi anielekeze tafadhari
 
Kuna hii ;
Swedish Institute Scholarships for Global Professionals (SISGP)
Moja ya Scholarship rahisi kabisa kufanya application yake na kama una vigezo pia ni rahisi kupata.
Pia hawahitaji TOEFL/IELTS.
kazi inabaki kuwa kwenu;

Swedish Institute Scholarships for Global Professionals | Swedish Institute

ila inabidi uandae applicaton fees ila ni kidogo sana,kwa maelezo zaidi soma link hapo juu.
Asante.
 
dah ni kweli kabisa schoolarship nyingi wanataka huu mtihani IELTS

Kuna vyuo baadhi wao hawahitaji iyo IELTS... wanahitaji proof tu kuwa degree uliyosoma, masomo yake yalikua yanfundishwa kwa kingereza basi....hii inakua njia ya kuanza kua apply ufadhiri coz utakua umepata offer ya masoma kwa chuo,...
 
Wengi wetu wanatafuta full scholarship, let say kwenye chuo fulani. Wakati vyuo vingi hutoa partial scholarship zen unaeza omba sehem iliyobaki kwenye agency/ taasisi/ project zingine...na ukasoma vizuri.
 
Kuna vyuo baadhi wao hawahitaji iyo IELTS... wanahitaji proof tu kuwa degree uliyosoma, masomo yake yalikua yanfundishwa kwa kingereza basi....hii inakua njia ya kuanza kua apply ufadhiri coz utakua umepata offer ya masoma kwa chuo,...
Ah kweli mkuu ? embu nipedondoo juu ya izo schoolarship
 
Kitu cha kwanza, pata iyo proof. Zinapatika chuoni ulikomaliza au unakosoma....pia kuna some college hasa USA wao kama O level English ulipata c,B, Or A unapata tu admission
Okay mkuu nimekusoma tuendelee kuhabarishana juu ya haya mambo mazuri alafu nazani wa TZ tukiwa na unite kama wenzetu wa KE hususani ktk fursa kama izi za abroad tunaweza kufika mbali sanaa, juzi nilikuwa natazama makala flani ivi ktk station moja ya luninga, ss ikagundulika wakenya ndio wapo wengi wanafundisha hii lugha yetu maridhawa ya kiswahili kule State ktk vyuo vikubwa vikubwa
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom