Dondoo kuhusu biashara ya mitungi ya gesi

Hata nikikupa kama huna hela ni kupotezeana time tu,sema uko wao unayo hela then nakupa nondo vizur
Kwa maoni yangu naona mtoa maada yupo sawa kutafuta taarifa/maarifa ya biashara yake kabla hata hajapata hiyo hela.binafafsi huwa naona muda muafaka wa kufanya tafiti ya fursa ni kipindi ukiwa huna kitu ili usijeishia kufanya kitu kwa mchecheto.lakini ukiwa huna kitu utakuwa na muda zaidi wa kutafta maarifa na kuchuja fursa unazozipata na punde upatapo mtaji unaanza kuingiza mtaji kidogo kidogo kwa zile ulizoona zinakidhi vigezo zaidi.
Napenda kukutia mouo myoa maada wala hujakosea wewe endelea kutafta taarifa zaidi,naamini kuna wadau humu awanajua na watakusaidia tuu.ukipata pesa pia mtafute nasmapesa nae akupe nondo zake kama alivyoahidi zaweza kusaidia pia.
 
Wadau ningependa mtu anayeifanya biashara hii anipe abc zake,maana mtaa niliohamia nimeona kuna fulsa sana ya kuanzisha hii biashara ya mitungi ya gesi kwa matumizi ya majumbani.ninahitajika niwe na sh ngapi kama kianzio? je oryx wanaweza kukufanya kama wakala na mambo mengne muhim ningependa kuyafaham.nawakilisha
Fulsa au Fursa??
Unawakilisha au unawasilisha??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom