Dondoo kuhusu biashara ya mitungi ya gesi

Rodney01

JF-Expert Member
May 14, 2013
826
828
Wadau ningependa mtu anayeifanya biashara hii anipe abc zake,maana mtaa niliohamia nimeona kuna fulsa sana ya kuanzisha hii biashara ya mitungi ya gesi kwa matumizi ya majumbani.ninahitajika niwe na sh ngapi kama kianzio? je oryx wanaweza kukufanya kama wakala na mambo mengne muhim ningependa kuyafaham.nawakilisha
 
Back
Top Bottom