Donda ya Kanye West kutoka leo, Haya ndo majina ya Wasanii walioshirikishwa

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,304
Ikiwa leo Ndio Siku Ya kuachiwa Kwa Album Ya rapa kutokea Nchini Marekani 🇺🇲 @kanyewest, Ifahamu List Ya Mastaa Walioshirikishwa Kwenye #Donda

Hii Ndio List Ya Mastaa Walioshirikishwa Kwenye Album ya Rapa huyu Katika Mikwaju Tofauti

#Jayz
@kidcudi udi
theweeknd eeknd
@roddyricch
@travisscott
@lilbaby
@playboicarti
@lilyachty
@Fivioforeign
@Dontoliver
@thuggerthugger
@westsidegunn
@ConwayTheMachine
@JayElectronica

Ni kolabo Gani Unaisubiri kuisikia Kwa Hamu Kutoka Kwa Kanye West Kati Ya Mastaa Hao ?
 
Nilikuwa najiuliza nini maana ya Donda.
Screenshot_20210806-171712.jpg


Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom