Donda lisilopona kwenye moyo wa mwanaume katika ndoa

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,645
Kwenu wanawake, hakuna dhambi mbaya kabisa kwenye ndoa kama kuvunja uaminifu. Dhambi hii haiponi hata kama mumeo atatangaza msamaha, ndio utakuwa umejiweka mahali pabaya mwenyewe. Fanya yote, lakini epuka kuleta usaliti ambao ndio msingi mkuu wa ndoa. Heshima yako haitakuja kuwa kama mwanzo kamwe.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Zama zimebadilika, sio kila homa ni maleria
Sasa hv kuchepuka ndio fashion kila mtu hataki impite sio kwa waume wala wake.
Ila tuache masikhara wake za watu siku hizi wanachapika vibaya mno yaani sijui hata shida ni nini.

Maendeleo hayana chama
 
Duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu mbona mnajisemea nyie tu na sisi ni hivyohivyo
 
Zama zimebadilika, sio kila homa ni maleria
Sasa hv kuchepuka ndio fashion kila mtu hataki impite sio kwa waume wala wake.
Ila tuache masikhara wake za watu siku hizi wanachapika vibaya mno yaani sijui hata shida ni nini.

Maendeleo hayana chama
Yaani wake za watu wanapigwa miti kuliko sisi masingle huwezi amini wanalala Na kitu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom