Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,650
Kwenu wanawake, hakuna dhambi mbaya kabisa kwenye ndoa kama kuvunja uaminifu. Dhambi hii haiponi hata kama mumeo atatangaza msamaha, ndio utakuwa umejiweka mahali pabaya mwenyewe. Fanya yote, lakini epuka kuleta usaliti ambao ndio msingi mkuu wa ndoa. Heshima yako haitakuja kuwa kama mwanzo kamwe.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk