Donbosco oysterbay Vtc

kokaumba

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
392
174
Wanajamvi naomba kuuliza he majina ya wanafunzi walioomba kujiunga na mafunzo kwa vitendo yameshatoka? Kwa sababu TANGAZO linaonesha majina yatawekwa kwenye tovuti ya chuo lakini sijayaona mpaka Leo ili hali ilipaswa yatoke kuanzia tr 1/8 mpaka tr 5/8
 
Kama upo dar si ungeenda tu hapo upanga
 
Write your reply...dah mm pia naisubiria ile awamu y pili kW mikoa mengne ila mpka ssa bdo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom