DONALD TRUMP

Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
10,986
20,401
Donald trump amesema kuwa Barak obama na Hilary clinton ndio waliounda kikundi cha kigaid cha ISIS

Pia Unaweza kusoma kwa undani zaidi kupitia hapa kwenye mtandao wa CNN kuhusu hilo Trump: Clinton, Obama 'created ISIS' - CNNPolitics.com

Ni miezi miwili tu tangu raisi wa Urusi Putin alivyoeleza kwa namna gani obama na marekani walivyounda na kulihudumia kundi hilo la marekani
 
hii dunia inayumbishwa na mataifa tajiri ya magharibi..illuminati sh*t
 
Back
Top Bottom