Donald Trump will NOT get to speak in Parliament after Commons Speaker John Bercow launches furious

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,225
50,368
Donald Trump has been barred from making a speech in Westminster Hall on his state visit by Commons Speaker John Bercow.

In an extraordinary broadside from the Speaker's chair, he said Mr Trump's controversial ban on migrants from seven majority Muslim countries had left him 'even more strongly opposed' to a speech than he had been.

The Speaker is one of three 'key holders' for the ancient hall who must agree to its use and if he refuses to cooperate it will be impossible for Theresa May to extend a speaking invitation to the US President.

Mr Bercow was applauded by MPs after branding Mr Trump racist and sexist but despite its acclaim the tirade is likely to provoke a diplomatic headache in No 10 and at Buckingham Palace.

Mr Trump's executive order provoked protests around the world and has been suspended by US judges as unconstitutional.

Scroll down for video

3CE6F08100000578-4196814-Speaker_Bercow_was_applauded_by_MPs_after_his_intervention_promp-m-25_1486400707606.jpg

Speaker John Bercow, pictured rebuking Donald Trump in the Commons today, said his opposition to a speech in Parliament by Donald Trump had been increased by the President's migrant ban

3CE6FF5600000578-4196814-image-a-26_1486401121293.jpg

Speaker Bercow was applauded by MPs after his intervention, prompted by a point of order from Labour MP Stephen Doughty

Donald Trump WON'T speak in Parliament on UK state visit | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Ataandika kwenye Twitter na kuongea kokote atakapotaka, uingereza inamgogoro wa kujitoa EU, huku nako wanataka kuchokoza?
 
Hakuna haja ya kuongea huko nchini kwa watu anakopingwa. Abaki tu Marekani kwa wafuasi wake.
 
Trump ajipange na executive orders zake amuangalie sana bannon maana anampoteza. Hakutegemea reactions zitakuwa kubwa within america mpk around the world

Hapo US to kuna mapingamiz yanaenda supreme court kuanzian silicon valley (100) tech companies, states, bipartisian national security advisors veterans etc. Kwa hyo imekuwa ngumu maana mpaka majority sen leader wa republican anasema ikiwa mahakama wataamu kupiga chini exec order ya migration basi wao hawataijadili kwenye bunge inshort hakutegemea.

Amedharau sana role ya establishment na hata role ya wanahabari i.e cnn,ny times,abc,msnbc etc kwa hyo ni kosa kubwa sana analofanya na asipokuwa makini na kusoma alama za nyakati itamcost.
 
Sasa watu wanakuwa wanashtuka wakati mwenzenu ali ahidi kwenye kampeni ata fanya hivo.
Nadhani kasha jipanga kwa kila kitu
 
Sasa watu wanakuwa wanashtuka wakati mwenzenu ali ahidi kwenye kampeni ata fanya hivo.
Nadhani kasha jipanga kwa kila kitu

Huyo Trump lazima awe ni mtu mwenye pumzi sana, yaani anapingwa kila sehemu lakini anajipiga piga kifua hadi raha.
 
Nilichojifunza siasa ni kitu kingine jaman na fitna zake ni kubwa kama sio mwanasiasa utaishia kulaumu kila kitu na hicho ndicho kimachomkumba trump kwa sasa maana anaandamwa kuanzia snl mpk matangazo ya budwiser ktk superbowl hahahha jamaa akichokozwa tu anapanick na kukimbia twitwer
 
  • Thanks
Reactions: kui

Huyo ataukimbia urais.
Hicho kiti ukikikalia masaa mawili halafu uwe mtu mihemko, utakiacha mwenyewe.
 
Huyo ataukimbia urais.
Hicho kiti ukikikalia masaa mawili halafu uwe mtu mihemko, utakiacha mwenyewe.
Ninachoona pence mwenyewe anamuogopa na waliomzunguka ktk wasaidiz wake pia juzi kapiga bit hapo WH staff wote wanawake wavae kikike hahhaha. Watu wanauliza first lady yuko wapi maana hata weekend haji huko Dc ila ivanka alipo babaake yy yupo mpk imekuwa kero ila ajue kuwa Establshment ndio imejaa kila kona from congress to judiciary ambapo hachomoi kitu. Akina maccain wamemkalia kooni.
Ninachoamin wana issue kibao za kumuimpeach lkn wanasubiri je atabdlika leo nimesoma times kuna makala kbisa ya wasomi wataalam wanaauggest haja sasa ya ulazima impeaching trump, ukisoma hizo point utasema huyu akitoboa mipango ya mungu tu.
 
Trump anavyopenda Audience . Asijali kukatazwa!

Halafu akirudi Marekani atawasimulia nini kama hawezi ongea na kama watu watakuwa wengi kumshuhudia?
Kila anapoenda kuongea lazima asemelee media, kama hawezi ongea UK si itakuwa shida.
 
Hajali? umemuona leo kwenye TV alivyochoka hata kuongea ilikuwa shida
Nime icheki, sijaona kama pale alikuwa kachoka.
Na sijaona kama alikuwa ana mpango wa libadilisha misimamo yake
 
Trump ni mtu wa kipekee sana.tangu kwenye mchakato wa kuwa mgombea alipingwa kila kona, Republicans wenyewe walikua hawamtaki..hao ma elites....establishiment..wote walikua wanampinga...angekua na roho ndogo asingefika hapa leo.Sasa hivi hawamuwezi huyu mtu..akili zake anazijua mwenyewe tu na hiyo Inner Circle yake sababu sitaki kuamini hayo mambo anayofanya anakurupuka...haiwezekeni..kuna watu wako nyuma yake.....Pia namuona anajiamini sana na anasimamia anachoamini...

Hao waingereza wafanye yanayowahusu....Brexit bado inawapa tabu....Kama wanataka wahamiaji...wafungue milango tu....watu waende
 
Tena nimeona wafuasi wake kule Quora wanamwomba akomae tu, kwamba wapo nyuma yake na wanamuunga mkono hata kama dunia inamwona chizi.
 
Melania Trump missed out on ‘once-in-a-lifetime opportunity’ to make millions, lawsuit says. :):)

Back
Top Bottom