Donald Trump usiruhusu Biden awe Rais wa USA!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kama vipi D. Trump atangaze hali ya hatari vyovyote vile lakini asiruhusu marionette Biden awe Rais wa USA, kufanya hivyo ni kuhalalisha wizi wa kura na huo ndiyo mwanzo wa mwisho wa Republican party USA. Biden ni warmonger, miaka 4 ya D.Trump Dunia imekaa kwa amani bila ya vita na USA alianza kuondoa majeshi yake nchi mbali mbali mfano Somalia, Afghanistan na kwingineko.

It's not over!

1608018932067.png
 
Unaandika kama mtu ambae hajitambui!Anaeamua nani awe Rais kule Marekani ni wananchi wa Marekani na wala siyo Trump.Unafikiri Marekani ni sawa na huko Tanzania ambapo Magufuli ndiye anaamua nani awe Rais na wabunge kwa kuiba kura?

Umeshapata habari kuwa leo wale electoral college wamempitisha Biden kuwa Rais wa Marekani?Trump ni nani hadi apingane na member wa electoral college?Electoral college nao ni wezi wa kura?
 
Ana habari za Kisarawe zaidi kuliko USA
 
Kama vipi D.Trump atangaze hali ya hatari vyovyote vile lakini asiruhusu marionette Biden awe Rais wa USA, kufanya hivyo ni kuhalalisha wizi wa kura na huo ndiyo mwanzo wa mwisho wa Republican party USA. Biden ni warmonger, miaka 4 ya D.Trump Dunia imekaa kwa amani bila ya vita na USA alianza kuondoa majeshi yake nchi mbali mbali mfano Somalia, Afghanistan na kwingineko, ...

It's not over!

View attachment 1650552
Inawezekana huyu jamaa akawa Ni mmoja Kati ya wale wanaopenda kujiita wao Ni wanademokrasia lkn hatimaye anatoa mtazamo hasi kuhusu maamuz ya kidemokrasia.
 
Kama vipi D.Trump atangaze hali ya hatari vyovyote vile lakini asiruhusu marionette Biden awe Rais wa USA, kufanya hivyo ni kuhalalisha wizi wa kura na huo ndiyo mwanzo wa mwisho wa Republican party USA. Biden ni warmonger, miaka 4 ya D.Trump Dunia imekaa kwa amani bila ya vita na USA alianza kuondoa majeshi yake nchi mbali mbali mfano Somalia, Afghanistan na kwingineko, ...

It's not over!

View attachment 1650552
USA ni kuna mifumo ya kidemocrasia kimsingi ndiyo inayomweka rais madarakani. Hamna jecha wala bao la mkono.
 
We dogo, Marekani ni nchi yenye MISINGI na MIFUMO!

Ni nchi ambayo haiendeshwi kama genge la nyanya.

Huko Danganyika Republic mmezoea ujanja ujanja na utapeli! Ukanjanja ukanjanja na maigizo!

Nasikia huko kwenye nchi yenu ya Danganyika Rais ana uwezo wa kufanya lolote hata kukupiga madole na ukabaki umetulia tuli!

Ukithubutu kumjibu anakugonga rungu la kichwa immediately!

Akikuhurumia anakushughulikia na kukubambikiza mashtaka ya jinai makubwa makubwa mpaka unajuta kumfahamu ati!
 
Duh. Huyu mwamba bila shAka Ni kutoka mitaa ya Lumumba IQ take Ni zero kabisa.
Kwa fikra zake Marekani inaendeshwa kwa matamko Kama itokeavyo huko kwao Tanzagiza ..
Kwa Mara nyingine nasikitika kwamba taifA hili linaangamia su kwasababu tu ya ukosefu wa uzalendo Bali zero IQ ya vijana wake tegemeo
 
Unaandika kama mtu ambae hajitambui!Anaeamua nani awe Rais kule Marekani ni wananchi wa Marekani na wala siyo Trump.Unafikiri Marekani ni sawa na huko Tanzania ambapo Magufuli ndiye anaamua nani awe Rais na wabunge kwa kuiba kura?

Umeshapata habari kuwa leo wale electoral college wamempitisha Biden kuwa Rais wa Marekani?Trump ni nani hadi apingane na member wa electoral college?Electoral college nao ni wezi wa kura?

Mkuu uchaguzi wa Marekani huwa ni kichekesho.It is designed for the Deep State to perpetually rule.Kwa hivyo ni vema watu wakaelewe, kwamba miaka yote hakuna uchaguzi Marekani,it is a fuss,kwa kuwa Republicans na Democrats principally ni chama kimoja,so which ever party wins,the Deep State has won.

Uchaguzi huu hata hivyo ni tofauti kabisa kwa kuwa Donald Trump yuko kinyume na the Deep State.Baada ya kuliona hili Deep State wakabuni kila mbinu ovu ya kuiba kura including absentee ballot voting na kutengeneza mashine ambayo in principle imetengezwa kuiba kura kwa ajili ya Biden!Ukweli ni kwamba wizi wa kura uliofanyika kwa niaba ya Biden haujawahi kuoneka katika historian ya Marekani.

Hata hivyo nirudie tena,Americans should come to their senses and say no to Biden being sworn in as the President of the United States,otherwise they will have themselves to blame.The patriots are ready to hit back and are armed to the teeth.

Soma taarifa ifuatayo,it clearly proves how the winner of the American election was determined even before the election started.

HUGE! “We conclude that the Dominion Voting System is intentionally and purposefully designed with inherent errors to create systemic fraud and influence election results.”

Posted on December 15, 2020 by State of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmail

Share

___

This entry was po
 
Unaandika kama mtu ambae hajitambui!Anaeamua nani awe Rais kule Marekani ni wananchi wa Marekani na wala siyo Trump.Unafikiri Marekani ni sawa na huko Tanzania ambapo Magufuli ndiye anaamua nani awe Rais na wabunge kwa kuiba kura?

Umeshapata habari kuwa leo wale electoral college wamempitisha Biden kuwa Rais wa Marekani?Trump ni nani hadi apingane na member wa electoral college?Electoral college nao ni wezi wa kura?
Hilo li-ccm linadhani kila nchi mtu mmoja anaweza kubadilisha maamuzi ya watu.
 
Back
Top Bottom