Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

Wamwangalie hata kwa jicho la saba hawawezi lolote.......

Haya Mambo Trump aliahidi mapema Kabisa hata Kabla hajapitishwa na Chama chake cha Republican kuwa Mgombea....

Tatizo ni kwamba watu wengi Hasa nchi za Kiislamu walifikiri Trump anatania Hawakujua kuwa alikuwa Serious ...sasa Mzee anatimiza alichoahidi watu wanapagawa na kuanza Kumtolea vitisho....

Kumtishia Raisi wa USA ni kazi bure....

Mimi ningeshangaa kama angekuwa kakurupuka Kumbe aliahidi zaidi ya miezi 21 iliyopita?

Ahadi ya Trump

Na huu mpango mchakato wake ulianza tangu kipindi kile George Tenet akiwa ni Mkurugenzi wa CIA kabla ya kujiuzuru ili kuwa karibu na mtoto wake aliyekuwa anakwenda kujiunga chuo kikuu
 
Mimi ni mkristo lakini ndugu yangu umepotoka sana hapa. Usiandike jambo lolote kwa msingi wa kidini. si vyema kukashifu watu au imani yao..Kwanza faham tu ukristo haupo sana Israel km ambavyo unaelewa..Israel wengi siyo christian na hawaamini hata kifo cha Yesu..wengi ni Jews.
Hujamuelewa vema.
 
Hao wapalestina si wahamie Misri kazi kung'ang'ania visivyowahusu.Jerusalem ni mji mkuu na muhimu sana kwetu wakristo hebu watutolee majini yao

Mkuu mashariki ya kati kwa sehemu kubwa ni nyumbani kwa waarabu na hao Jews kwa uchache wao , na kabla ya Jews kuanza kurudi toka ulaya kwa wingi hasa baada ya vita ya pili ya dunia jua huyo mwarabu alikuwa hapo na ndo maana nchi zenye nguvu muda huo hasa Great Britain walitaka hata kuwaanzishia nchi yao na sehemu moja iliyokuwa suggested ni Uganda Africa wakakataa kwa vigezo vya nchi yao ya ahadi na Uingereza ndo wameshiriki sana kuwarudisha mashariki ya kati kutoka karibu nchi zote za ulaya walipotapakaa na hii ni 'guilty' ya wazungu kwa walichowatendea baada ya vita kuu ya pili ya dunia na ndo maana wanawalinda kwa kila hali

Na hata hao Jews walikuwa karibia nchi zote za waarabu na waliishi kwa amani tu kuanzia Egypt, Tunisia,Irak Nk kabla ya uhasama huu uliokuwa mkubwa baada ya wao kurudi kwa wingi na kuchukua ardhi ya Wapalestina baada ya vita ya pili ya dunia

Afu ni kweli kiiman Wakristu wanauona mji wa Jerusalem na Israel kama ni nchi muhimu ktk mafundisho lkn kijamii na kijiografia waarabu wapo hapo miaka nenda rudi wameilinda Jerusalem kipindi Jews kalowea ulaya

Kwahiyo wote wana haki kuwa hapo watafute namna bora tu za kukaa hapo

Afu Jews anaweza kuwa ana mjua zaidi muislam sababu ni jirani yake wa miaka na miaka hata kama mafundisho yao ni tofauti kuliko mkristu sababu wao sehemu kubwa sio wakristu na idadi ya wakristu ni ndogo sana kuliko jirani mwarabu ambae ni muislam na mbaya wanaona kama mafundisho yao yalikuwa 'corrupted' na hasa kuhusu dhana ya Masihi

Kiufupi Jews hamtambui kabisa mtume wa waislam na uislam zaidi ya ujirani tu na kwa ukristo wao wana msubiria masihi wao kwa mafundisho yao ya Torah/Kabalah kwao Jesus ni mtu aliepokea mafundisho yao vibaya aka hasi na akayapa tafsiri isiyo sahihi kwa hiyo wao Jews wanatushangaa tu hasa sisi watu wa mataifa wanaona tumelishwa matango pori tu

Anyway nimejitahidi kuonyesha kwa uono wangu tu lengo sio ku kashfu imani ya mtu yoyote kama nimeteleza mnisamehe
 
Eti Jerusalem uwe mji wa Waarabu/Waislamu, haileti mantiki kimaandiko! Kweli asomaye na afahamu kama ilivyoandikwa:

Marko 13
14 Lakini mlionapo chukizo la uharibifu likisimama pasipolipasa, (asomaye na afahamu), ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
 
Mkuu mashariki ya kati kwa sehemu kubwa ni nyumbani kwa waarabu na hao Jews kwa uchache wao , na kabla ya Jews kuanza kurudi toka ulaya kwa wingi hasa baada ya vita ya pili ya dunia jua huyo mwarabu alikuwa hapo na ndo maana nchi zenye nguvu muda huo hasa Great Britain walitaka hata kuwaanzishia nchi yao na sehemu moja iliyokuwa suggested ni Uganda Africa wakakataa kwa vigezo vya nchi yao ya ahadi na Uingereza ndo wameshiriki sana kuwarudisha mashariki ya kati kutoka karibu nchi zote za ulaya walipotapakaa na hii ni 'guilty' ya wazungu kwa walichowatendea baada ya vita kuu ya pili ya dunia na ndo maana wanawalinda kwa kila hali

Na hata hao Jews walikuwa karibia nchi zote za waarabu na waliishi kwa amani tu kuanzia Egypt, Tunisia,Irak Nk kabla ya uhasama huu uliokuwa mkubwa baada ya wao kurudi kwa wingi na kuchukua ardhi ya Wapalestina baada ya vita ya pili ya dunia

Afu ni kweli kiiman Wakristu wanauona mji wa Jerusalem na Israel kama ni nchi muhimu ktk mafundisho lkn kijamii na kijiografia waarabu wapo hapo miaka nenda rudi wameilinda Jerusalem kipindi Jews kalowea ulaya

Kwahiyo wote wana haki kuwa hapo watafute namna bora tu za kukaa hapo

Afu Jews anaweza kuwa ana mjua zaidi muislam sababu ni jirani yake wa miaka na miaka hata kama mafundisho yao ni tofauti kuliko mkristu sababu wao sehemu kubwa sio wakristu na idadi ya wakristu ni ndogo sana kuliko jirani mwarabu ambae ni muislam na mbaya wanaona kama mafundisho yao yalikuwa 'corrupted' na hasa kuhusu dhana ya Masihi

Kiufupi Jews hamtambui kabisa mtume wa waislam na uislam zaidi ya ujirani tu na kwa ukristo wao wana msubiria masihi wao kwa mafundisho yao ya Torah/Kabalah kwao Jesus ni mtu aliepokea mafundisho yao vibaya aka hasi na akayapa tafsiri isiyo sahihi kwa hiyo wao Jews wanatushangaa tu hasa sisi watu wa mataifa wanaona tumelishwa matango pori tu

Anyway nimejitahidi kuonyesha kwa uono wangu tu lengo sio ku kashfu imani ya mtu yoyote kama nimeteleza mnisamehe

hawa watu wangekuja Uganda..aisee tungekuwa na neema sana Sisi tusiojielewa..
 
Hao wapalestina si wahamie Misri kazi kung'ang'ania visivyowahusu.Jerusalem ni mji mkuu na muhimu sana kwetu wakristo hebu watutolee majini yao
Imeandikwa ya kuwa ardhi hizo watazirithi waja wa mola walio wachamungu. Mwishoni itakuwa hivyo.
 
Hii vita atakayeshinda ni yule mwenye Mungu wa Kweli...na ninauhakika mwisho wa siku ......... Ndio Washindi hilo halina Ubishi na hakuna wa kupinga.
akshenazi ndo kabila linaloishi pale si wayahudi wale wa biblia ,rais wa egypt alisema wayahudi waliondoka misri wakiwa weusi tii anahoji imekuwaje wa skuizi weupe ,tafakari
 
Mkuu kwa waislam Jerusalem ndio kuna msikiti wa al aqsa ambao kiimani Bwana Mtume Muhammad s.a.w alisafiri usiku kukutana na Mwenyezi Mungu.hivyo ni sehem muhim pia kwa waislam. suala hili litazidi kuongeza mtafaruku kati ya Israel na palestine na Waislam kwa ujumla
Mpaka nafikia post yako sijaona sehemu mtu yoyote akikoment kuhusu urafiki mpya wa Saudi Arabia ambaye ni mlinzi wa sehemu muhimu/takatifu kwa dini ya kiislamu, (Makka na Madina ) na Israel

Saudis has betrayed Islam. .....let every Muslim face it & stop shifting blames.
 
Back
Top Bottom