gustavoo
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 119
- 138
NimekuelewaSijachanganya na najua vizuri kile ninachokiongea au kukiandika hapa
Ndani ya marekani kuna taasisi 6 za ulinzi na usalama
1 CIA = Central Intelligence Agency kazi yao ni kukusanya taarifa zote za kijasusi nje ya marekani kwa maslai ya marekani
2 Secret service kazi yao ni kumlinda Rais,makamu rais pamoja na familia zao pia jukumu la ulinzi wa ikulu na maeneo yote ambayo rais na makamo watakuwapo mfano Camp david hii ni Presidential Retreat pia na kudeal na Money laundering ndani ya US na nje ya US kwani usd ni fedha inayotumika dunia nzima
3 FBI = Federal Bureau of Investigation hawa ni federal police ndani ya US kumbuka US inamajimbo 50 na kila jimbo lina police wake mfano NYPD,LAPD,CHPD,etc so kuliitajika federal police wenye acces ya kuingia kila jimbo na kufanya kazi yao lakni kwa makosa ya Federal cases au makosa makubwa ya jinai pia wanahusika na ulinzi wa ndani wa balozi zote za US duniani
4 Homeland security hawa wanadeal na kufanya au kukusanya taarifa zote za kijasusi ndani ya marekani yani kifupi wanadeal na mambo ya kiusalama ndani ya US
5 DIA = Defense Intelligence Agency hawa wanadeal na mambo ya usalama wa jeshi yani military intelligence ndani ya US na Nje ya US
6 NSA = National Security Agency hili ndo shirika mama la usalama ndani ya marekani na taasisi zote madirector wate wa taasisi za usalama na ulinzi nilizozitaja hapo juu wanareport kwa diretor wa NSA na director wa NSA ndio mwenye security clearance kubwa na yeye ndio anakuwapo ktk kikao cha The President's Daily Brief (PDB) kinachofanyika kila siku saa 07:45 AM ambapo rais anapokea taarifa zote za kijasusi na mambo ya usalama na wanaohudhulia ktk kikao hicho ni Commander-in-chief,VP,defense secretary,director of NSA na National security adviser naomba niishie hapo tu .