Ack
Member
- Dec 21, 2016
- 88
- 87
Rais wa marekani Donald trump atafanya ziara yake korea ya kusini ikiwa ni wakati ambapo hali ya penisula ya korea ni tete, nina maswali mengi sana juu ya ziara hyo lakini ngoja niuliza matatu tu:
1. Je, Donald trump anataka kuionyesha north korea kuwa nchi yake haiwaogop??
2. Ndo anaenda kutangaza vita dhidi ya north korea??
3. Au anaenda kuangalia uwezekano wa kumaliza mzozo huo kwa amani??
Ndege za marekani zinafanya patrol katika ukanda wa bahari ya pacific ikiwa zimebaki siku chache Rais huyo kifika rasi hyo.