Tetesi: Donald Trump kuitembelea Korea Kusini Jumamosi wiki hii

Ack

Member
Dec 21, 2016
88
87
Rais wa marekani Donald trump atafanya ziara yake korea ya kusini ikiwa ni wakati ambapo hali ya penisula ya korea ni tete, nina maswali mengi sana juu ya ziara hyo lakini ngoja niuliza matatu tu:

1. Je, Donald trump anataka kuionyesha north korea kuwa nchi yake haiwaogop??

2. Ndo anaenda kutangaza vita dhidi ya north korea??

3. Au anaenda kuangalia uwezekano wa kumaliza mzozo huo kwa amani??

Ndege za marekani zinafanya patrol katika ukanda wa bahari ya pacific ikiwa zimebaki siku chache Rais huyo kifika rasi hyo.
 
MI WASI WASI WANGU ASIJE TUNGULIWA AKIWA ANGANI NA MAKOMBORA YA MAPANKI
 
Mdanganye kule ataongea kwa adabu zote sababu pale mpakani DMZ Kiduku karundika makombora ya kila aina yakiwa yameelekezwa Seoul sasa asije akaropoka na yeye wakamfyatua huko huko
 
Kiduku naye aende Canada au Mexico kama jeuri kweli. Wanakaficha utafikiri nini sijui. Katoke barabarani kama kweli mwanaume badala ya kujichimbia ndani utafikiri kako kwenye uzazi. Wanaume wanakuwa barabarani.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
MI WASI WASI WANGU ASIJE TUNGULIWA AKIWA ANGANI NA MAKOMBORA YA MAPANKI
Anga yote inakuwa controlled directly from Central Command mazee. Frequencies na any kind of signal zinakuwa halted hadi mfalme atakapomaliza shughuli zilizompeleka huko. Devices na vyombo vyote vya mawasiliano vinageuzwa matoi kwa muda.
 
Kimsingi siku za kiduku zinahesabika (japo na sisi ni wafu watarajiwa)
Screenshot_20171002-075025.png
 
Kiduku naye aende Canada au Mexico kama jeuri kweli. Wanakaficha utafikiri nini sijui. Katoke barabarani kama kweli mwanaume badala ya kujimbia ndani utafikiri kako kwenye uzazi.
Akafanye nn huko...?

Mwambie aliyoko ktk Nchi ya viwanda kwanza.
 
Back
Top Bottom