Donald Trump atoa hotuba ya mwisho kama Rais, autakia mafanikio mema utawala wa Biden

Best speech,
Anasema I fought hard battles and fights bcs that is what he was elected for.

Hatuchagui viongozi kwa sababu ya elimu zao, bt bcs kuna matatizo mazito ambayo yanamesumbua viongozi wengi waliopita, na hao wapya wameonesha matumaini.

Trump anakauli mbovu, na hana haiba ya mwanasiasa, bt anayajua matatizo ya wa marekani vizuri kuliko Joe biden.

Uchumi bora, ndio agenda bora ya kila kiongozi.
Joe biden, Yupo bize kuandaa lockdown zaidi na kuwatesa wamarekani, ilhali chanjo imeanza kutolewa.
. trump ananafasi ya kushinda urais huu, bcs sarpotters bado wanamtaka, na ndio maana yameitishwa maandamano nchi nzima.

Joe bidden ajue tu marekani ya sasa, si ya miaka ile ya enzi za kina Lincoln,

Marekani ina wenyewe
Biden haijui marekan???🙄
 
Biden hawezi kuweka lockdown yoyote, hiyo ni mamlaka ya majimbo,usikariri kama Kasuku.
Best speech,
Anasema I fought hard battles and fights bcs that is what he was elected for.

Hatuchagui viongozi kwa sababu ya elimu zao, bt bcs kuna matatizo mazito ambayo yanamesumbua viongozi wengi waliopita, na hao wapya wameonesha matumaini.

Trump anakauli mbovu, na hana haiba ya mwanasiasa, bt anayajua matatizo ya wa marekani vizuri kuliko Joe biden.

Uchumi bora, ndio agenda bora ya kila kiongozi.
Joe biden, Yupo bize kuandaa lockdown zaidi na kuwatesa wamarekani, ilhali chanjo imeanza kutolewa.
. trump ananafasi ya kushinda urais huu, bcs sarpotters bado wanamtaka, na ndio maana yameitishwa maandamano nchi nzima.

Joe bidden ajue tu marekani ya sasa, si ya miaka ile ya enzi za kina Lincoln,

Marekani ina wenyewe
 
Mi nimemkubali mawigi pale aliposema "have a good Life we Will see you Sion!"
Nalog off
 
Back
Top Bottom